Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
yupo sahihi 100%Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo.
Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne, Aprili 21, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio, wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya sekta ya nishati katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.
Dk Mataragio amesema kwa ujumla Bara la Afrika lina hifadhi ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo trilioni (TCF) 550, huku Tanzania pekee ikiwa na TCF 57.
Amesema kiwango hicho kinaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi muhimu barani Afrika katika uzalishaji wa gesi, hasa kwa matumizi ya nishati na shughuli za viwandani. “Kwa sasa tunajikita katika kuimarisha ushirikiano na nchi jirani ili kufikia malengo ya uzalishaji wa umeme wa megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030,” amesema Dk Mataragio.
Haina impact yoyote kwa wananchi zaidi ya sifa ya kitakwimu. Ni sawa na mwanaume kuwa na dhakari kubwa lakini khanithi.Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo.
Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne, Aprili 21, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio, wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya sekta ya nishati katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.
Dk Mataragio amesema kwa ujumla Bara la Afrika lina hifadhi ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo trilioni (TCF) 550, huku Tanzania pekee ikiwa na TCF 57.
Amesema kiwango hicho kinaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi muhimu barani Afrika katika uzalishaji wa gesi, hasa kwa matumizi ya nishati na shughuli za viwandani. “Kwa sasa tunajikita katika kuimarisha ushirikiano na nchi jirani ili kufikia malengo ya uzalishaji wa umeme wa megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030,” amesema Dk Mataragio.
Na ndo moja ya inchi ranking high kwenye umaskini kwa sabahu raslimali hizo zimeshikiliwa na mafisadi wachacheTanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo.
Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne, Aprili 21, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio, wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya sekta ya nishati katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.
Dk Mataragio amesema kwa ujumla Bara la Afrika lina hifadhi ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo trilioni (TCF) 550, huku Tanzania pekee ikiwa na TCF 57.
Amesema kiwango hicho kinaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi muhimu barani Afrika katika uzalishaji wa gesi, hasa kwa matumizi ya nishati na shughuli za viwandani. “Kwa sasa tunajikita katika kuimarisha ushirikiano na nchi jirani ili kufikia malengo ya uzalishaji wa umeme wa megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030,” amesema Dk Mataragio.
NIjuavyo hii gesi ya kwenye mitungi (LPG) inatoka huko ughaibuni, hususan uarabuni. Siyo inayochimbwa hapa.Pamoja na kubarikiwa gesi nyingi hivyo, lakini gharama ya kujaza gesi imekuwa sio rafiki
Mtungi wa 6kg=23,000
Mtungi wa 15kg=55,000
Na mtungi wa 38kg=110,000 kulingana na eneo
Nchi zisizo na Gesi asilia, wanauziwa nafuu kuliko sisi wa Bongoland 🙌
Karibu Tanzania ujionee maajabu
Haina impact yoyote kwa wananchi zaidi ya sifa ya kitakwimu. Ni sawa na mwanaume kuwa na dhakari kubwa lakini khanithi. [/QUOTE said:ata ile kusema gas inazalishwa kwetu (Tz) unashindwa yan !
apo tu nd nachok akil unakuta nchi jiran wananunua bei saw na Tz na hawazalishi kwao !Hiyo gesi mbona inauzwa ghali.
$20 mtungi wa gesi!!
TSh 55,000/= kwa mtungi.
Nchi ya kifala hii.
Hapana Mkuu, hii ni gesi yetu wenyewe kutoka hapa hapa BongolandNIjuavyo hii gesi ya kwenye mitungi (LPG) inatoka huko ughaibuni, hususan uarabuni. Siyo inayochimbwa hapa.
Ila naungana na wazo kwamba gesi yetu ya Mtwara bado haijatusaidia - kwa vile yenyewe inahitaji mfumo wa mabomba kusambazwa, na mfumo huo hakuna, isipokuwa kwa viwanda na watu wachache sana Dar es Salaam.