Na hiyo sheria ya kukuua imo kwenye Katiba ?Hakuna sheria kama hizo kwa Tanzania sema wanaweza kukuua badala ya kukuweka kizuizini
Hiyo ni yao binafsiNa hiyo sheria ya kukuua imo kwenye Katiba ?
Huu Uzi mnajibu kimasihara Sana..
Tanzania kila Jambo linawezekana chini ya wasiojulikana..
Mc
Swali zuri hiliSwali!!!Hivi wakikuweka Kizuizini wana provide kila kitu kwako na familia yako ?
Swali!!!Hivi wakikuweka Kizuizini wana provide kila kitu kwako na familia yako ?