Tanzania Muslim & Youth Association (TAMSYA) toeni tamko yanayoendelea Lebanon

Tanzania Muslim & Youth Association (TAMSYA) toeni tamko yanayoendelea Lebanon

Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.

1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?

2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?

3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
Hivi unajua TAMSYA iliundwa kwaajili ya kuhamasisha maisha ya kimaadili, elimu na maendeleo kwa vijana wa kiislamu

Hayo unayotaka waongelee sio sehemu ya malengo yao ya msingi.
 
Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.

1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?

2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?

3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
Waislam kuwatetea magaidi ndiyo ugaidi wenyewe.

Ndiyo maana tunasema UISLAM = UGAIDI
 
TuliA mambo ya wanaume unawambiwa wavulana watoe tamko wao watafanya nin labda waende kujitolea huu sio mda wa matamko chuma zinaongea milimani huko galilee
 
Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.

1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?

2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?

3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
Ujinga... Ujinga...
Kama yanayotokea Tanzania yenyewe wanakaa kimya hayo ya Lebanon yanawahusu Nini!?
 
Back
Top Bottom