Sijui kwanini waAfrika tunapenda victim mentality hivi vita vya israel na Hezbollah ni vita vya kidini?Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.
1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?
2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?
3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.