Sijui kwanini waAfrika tunapenda victim mentality hivi vita vya israel na Hezbollah ni vita vya kidini?Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.
1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?
2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?
3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
Tamko si hata wewe unaweza toa tu?hakutakuwa na tofauti yoyote ile.Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.
1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?
2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?
3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
acha unafiki, kwanini wasitoe tamko kwa yanayoendelea sudani ambako waarabu wameshambulia zaidi ya waislam 5m?Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.
1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?
2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?
3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
kwani waarabu waliwafanyaga nini nyie? Yaani yanayoendelea kwenye nchi yako kwa ndugu zako huyaoni?Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.
1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?
2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?
3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
Wewe ukitoa inatoshaWatukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.
1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?
2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?
3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
wewe ukitoa tamko inatoshaWatukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.
1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?
2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?
3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
Tusisahau kuwa Israel ilianza kwa kuivamia ardhi ya Lebanon na kuikalia hadi leo.Wakati mnawasifia hao magaidi wenu wakiichokoza Israel tuliwaambia hapa kuwa kibao kikigeuka msianze kutia huruma humu. Shekh, vaa bomu nenda kajitoe mhanga pale Tel Av.
Wengi hawajui walebanoni wengi ni Wakristo. ππHuko Lebanon wakristo Ndio wanamlilia Nasrallah πΌ
Na mbona hawajatoa Tamko kuhusu mauaji na utekaji?Congo na Sudan kunawaka moto muda mrefu, mbona hawajatoa tamko? Mbona walebanoni hawajatoa tamko kuhusu Congo?
Ila Hezbollah ni wa Imani yaoWengi hawajui walebanoni wengi ni Wakristo. ππ
Mbona hamjatoa Tamko kwenye Vita ya Ukraine na Russia? Kwa hiyo you are driven by your hates to other side of believersSijui kwanini waAfrika tunapenda victim mentality hivi vita vya israel na Hezbollah ni vita vya kidini?
Utawezaje kuona kibanzi kilichoko kwenye jicho la mwenzako wakati la kwako kuna Boriti?Ibada njema inaanzia nyumbani.
Je ya hapahapa Tanzania huwa wanatoa matamko?, Charity begins at homes, nyota njema huanzia nyumbaniCongo na Sudan kunawaka moto muda mrefu, mbona hawajatoa tamko? Mbona walebanoni hawajatoa tamko kuhusu Congo?