pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Alikubali uamuzi wa mahakama au hakukubali? Sasa nyinyi mnauana kwasababu ya uchaguzi wa madiwani fikiria akija mtu ashike bibilia ajiapishe kama rais wa Tanzania ndo kutakuaje?Kwakuwa Uhuru amesemwa yuko juu ndio anasema vya maana, Uhuru sio mwana demokrasia bali haja jaribiwa. Alijaribiwa kidogo na Maraga uliona demokrasia yake iko upande gani.
Wauza sura tu hao! Mbona jamaa flani alipopigwa risasi hawakukaa kwenye kikao? Au ndo walikuwa wanangoja afe kwanza?https://www.facebook.com/Hivi ndivyo inavyokua huku Tanzania kukitokea tukio kama hili, linganisha na huko kwenu.
Watu 57 waliuliwa kama wanyama porini, hata pole Uhuru wala Matiangi hawajatoa, hakuna mtu yeyote aliyekamatwa, huku mtu mmoja tu hadi sasa polisi 6 wapo ndani, rais amelaani na kutoa pole, serikali yote ipo msibani hadi muda huu tunaozungumza, ninyi ni sawa na wanyama wa porini katika kuuana.Alikubali uamuzi wa mahakama au hakukubali? Sasa nyinyi mnauana kwasababu ya uchaguzi wa madiwani fikiria akija mtu ashike bibilia ajiapishe kama rais wa Tanzania ndo kutakuaje?
Kuandamana ni haki ya kikataba shirikisha ubongo wako vizuri acheni ulevi madaraka ni watu tu wameamua kukaa kimya msidhani mnachokifanya ni sahihi.Hakuna aliye juu ya katiba ya JMT.Kwahiyo maandamo ya amani yasio na kibali wala kueleza umma nia na madhumuni ya hayo maandamo, unataka polisi wasubiri mpaka upepo ubadilike wauni wayateke hayo maadamano ndio polisi wakimbilie kutafuta silaha za moto. Hiyo polisi itachekwa dunia nzima.
Mi sijatetea huwozo kaka mi nacho sema nijinsi swala hili lilivyo mgusa kila mwana jamiiMaandamano ya amani polisi wataendaje na silaha za moto na kuzifyetua usawa wa watu hapo unatetea uozo gani ndugu?
Mbona husemi kuhusu 57 Kenyans umekazania mtu mmoja? au maisha ya wakenya hayana thamani kwa hiyo sio issue hata wakiuliwa kwenu ni poa tu?Wauza sura tu hao! Mbona jamaa flani alipopigwa risasi hawakukaa kwenye kikao? Au ndo walikuwa wanangoja afe kwanza?
Kuandamana kwa kibali ni haki ya kila raia, uhuru mwanachi mmoja usiwe karaa kwa mwanachi mwingine. Kama kulikuwa na shida kwenye uchaguzi mahakama ziko kwajili ya nini? Kwanini hukumu za upinzani zinalazimishwa kutoka mitaani badala ya mahakamani?Kuandamana ni haki ya kikataba shirikisha ubongo wako vizuri acheni ulevi madaraka ni watu tu wameamua kukaa kimya msidhani mnachokifanya ni sahihi.Hakuna aliye juu ya katiba ya JMT.
Kweli Tanzania ni nchi ya maajabu sanaBahati mbaya tu
Mnataka kushikilia bango
Hakukubali matokeo na aliwaita mahakimu wote wakora. Kama sio wazungu wanao msaidia kukalia hicho kiti, leo hii Kenya ingewaka moto.Alikubali uamuzi wa mahakama au hakukubali? Sasa nyinyi mnauana kwasababu ya uchaguzi wa madiwani fikiria akija mtu ashike bibilia ajiapishe kama rais wa Tanzania ndo kutakuaje?
Acha leo nikuite mshenzi, samahani. Unaongelea Kenya gani? Jambo la kwanza, rais Uhuru alisema yeye mwenyewe kwamba ataheshimu uamuzi wa mahakama ila hakukubaliana nao. Kama hangefanya hivo sasa hivi tungekuwa hapa? Hapo hamna ubishi. Jambo la pili, anayesaidiwa na wazungu anajulikana, ila si rais Uhuru. Rudi kwenye uchaguzi wa 2013, kwenye yale ya ICC na 'choices have consequences'. Usilete ubishi kwenye 'facts' tafadhali. Shukran.Hakukubali matokeo na aliwaita mahakimu wote wakora. Kama sio wazungu wanao msaidia kukalia hicho kiti, leo hii Kenya ingewaka moto.
Tena hilo jina la mshenzi linakwenda sawa na jina langu hapo juu au sio hahaAcha leo nikuite mshenzi, samahani. Unaongelea Kenya gani? Jambo la kwanza, rais Uhuru alisema yeye mwenyewe kwamba ataheshimu uamuzi wa mahakama ila hakukubaliana nao. Kama hangefanya hivo sasa hivi tungekuwa hapa? Hapo hamna ubishi. Jambo la pili, anayesaidiwa na wazungu anajulikana, ila si rais Uhuru. Rudi kwenye uchaguzi wa 2013, kwenye yale ya ICC na 'choices have consequences'. Usilete ubishi kwenye 'facts' tafadhali. Shukran.
Mbona kifo cha kanumba amkusema bahati mbaya wakati ile ndo ilikua bahati mbaya askali polisi anatakiwa atumie martial art kwenye mambo madogo madogo siyo kupiga piga risasi ovyo ovyo kipumbaavuBahati mbaya tu
Mnataka kushikilia bango
Achana nalo hilo linyang'au.Tena hilo jina la mshenzi linakwenda sawa na jina langu hapo juu au sio haha
Wewe unaongea mambo ya 2013 wakati ule Kenyatta alikiwa bad boy wa wakati ule, hivi sasa 2018 upepo umebadilika, wazungu wote wamemkubatia Kenyatta kwa sababu kuu mbili. Moja wanalinda maslai yao ya mikopo na investment walizo weka Kenya, pili, wakimwachia Odinga achukuwe madaraka atakuja na anti establishment agenda za kufukuwa miradi yote ambayo wazungu na "wachina" wamepiga deal. Hawawezi kuwa na Magufuli mwingine kwenye ukanda huu wamesha jifunza. Ukisema Uhuru alikubali matokeo hilo swali hata umuulize kesho atakwabia sikushidwa ika kuna wakora fulani walinifayia mbaya. Servers won't lie, record zote zinaonyesha jinsi wazungu wakivyo cheza na data wakishirikiana na wana Jubilee.
Wewe kweli zumbukuku kweli macho yako yamepofuka kwa ulevi wa madaraka.Hujaona nani aliyenzisha figisufigisu?Kuandamana kwa kibali ni haki ya kila raia, uhuru mwanachi mmoja usiwe karaa kwa mwanachi mwingine. Kama kulikuwa na shida kwenye uchaguzi mahakama ziko kwajili ya nini? Kwanini hukumu za upinzani zinalazimishwa kutoka mitaani badala ya mahakamani?
Hakuna cha ziada unachofanya zaidi ya kukariri tu. Servers za IEBC zilionesha hakuna aliyeongezewa wala kupunguziwa kura. Ndo maana mahakama ya kilele ilipobatilisha uchaguzi wa urais wa Agosti walisema sababu zao ni IEBC kutofata kanuni na masharti wakati wa kuwasilisha matokeo ya uchaguzi huo. Wewe unakesha ukisoma blog za watu zero brain. Walichofanya wazungu ni kumkana Raila baada ya kuona mikakati waliyokuwa wamemuambia afate ili awe rais yameambulia patupu! Kama 2013 hawakuwa na rais Uhuru Kenyatta na 2017 pia, hao wazungu unaowaongelea ni kina nani?Tena hilo jina la mshenzi linakwenda sawa na jina langu hapo juu au sio haha
Wewe unaongea mambo ya 2013 wakati ule Kenyatta alikiwa bad boy wa wakati ule, hivi sasa 2018 upepo umebadilika, wazungu wote wamemkubatia Kenyatta kwa sababu kuu mbili. Moja wanalinda maslai yao ya mikopo na investment walizo weka Kenya, pili, wakimwachia Odinga achukuwe madaraka atakuja na anti establishment agenda za kufukuwa miradi yote ambayo wazungu na "wachina" wamepiga
Sasa huyu kibwengo anaongea kuhusu nini? Wewe jamaa bana, bora urudi tu kwenye lile jukwaa unalolipenda la mahusiano na mapenzi. Hapa hamna magonjwa, ni watu wenye akili zao tu!Achana nalo hilo linyang'au.
FactAlikubali uamuzi wa mahakama au hakukubali? Sasa nyinyi mnauana kwasababu ya uchaguzi wa madiwani fikiria akija mtu ashike bibilia ajiapishe kama rais wa Tanzania ndo kutakuaje?
Acha upuuzi wako wewe.Sasa huyu kibwengo anaongea kuhusu nini? Wewe jamaa bana, bora urudi tu kwenye lile jukwaa unalolipenda la mahusiano na mapenzi. Hapa hamna magonjwa, ni watu wenye akili zao tu!
Sawa Mzee!Acha upuuzi wako wewe.