Tena hilo jina la mshenzi linakwenda sawa na jina langu hapo juu au sio haha
Wewe unaongea mambo ya 2013 wakati ule Kenyatta alikiwa bad boy wa wakati ule, hivi sasa 2018 upepo umebadilika, wazungu wote wamemkubatia Kenyatta kwa sababu kuu mbili. Moja wanalinda maslai yao ya mikopo na investment walizo weka Kenya, pili, wakimwachia Odinga achukuwe madaraka atakuja na anti establishment agenda za kufukuwa miradi yote ambayo wazungu na "wachina" wamepiga deal. Hawawezi kuwa na Magufuli mwingine kwenye ukanda huu wamesha jifunza. Ukisema Uhuru alikubali matokeo hilo swali hata umuulize kesho atakwabia sikushidwa ika kuna wakora fulani walinifayia mbaya. Servers won't lie, record zote zinaonyesha jinsi wazungu wakivyo cheza na data wakishirikiana na wana Jubilee.