Tanzania: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu auawa katika maandamano ya upinzani Tanzania

Bahati mbaya tu
Mnataka kushikilia bango

maneno kama bahati mbaya, shetani, tumwachie mungu, ndio mambo ya dunia, sote tupo safarini, na mengine kama hayo ni kiashiria cha watu wasiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo.
 
Hakuna cha ziada unachofanya zaidi ya kukariri tu. Servers za IEBC zilionesha hakuna aliyeongezewa wala kupunguziwa kura. Ndo maana mahakama ya kilele ilipobatilisha uchaguzi wa urais wa Agosti walisema sababu zao ni IEBC kutofata kanuni na masharti wakati wa kuwasilisha matokeo ya uchaguzi huo. Wewe unakesha ukisoma blog za watu zero brain. Walichofanya wazungu ni kumkana Raila baada ya kuona mikakati waliyokuwa wamemuambia afate ili awe rais yameambulia patupu! Kama 2013 hawakuwa na rais Uhuru Kenyatta na 2017 pia, hao wazungu unaowaongelea ni kina nani?
Account ya Chebukati ilivyokuwa inaigiliwa na watu wasiojulikana walikuwa wanatafuta nini huko, kadi za harusi? data zilifutwa na zingine kupachikwa. Wakati nyinyi mnapanga mstari na Githeri Man, watu walikuwa na masanduku ya kura majumbani mwao wanajijazia wenyewe kura zao. Logs zinaonyesha habari zinahama kutoka IEBC na kwenda nje ya nchi na kurudi IEBC. Hivi umepitia hata hiyo judgement ukajifahamisha au ndio unaweka ushabiki tuu wa kichama hapa.
 
Usifanye turudi kwenye ubishi wa kipuuzi. Kwa maneno yako ni wazi kwamba hujui uwepo wa kitu kinaitwa Form 34B. Form 34B huwa zinachapwa 'signature' na Returning Officer kwenye kila stesheni ya kupiga kura kisha ndo zinakuwa 'scanned' afu zinatumwa zilivyo hadi kituo kikuu cha kuhesabia kura cha ya IEBC. Yaani wewe unadhani data ndo zinatumwa tu from whatever. Hizo Form zilipatikana zote zipo sawa. Hujui chochote wewe ng'ang'ana na siasa za madiwani za Tz!
 
Mimi wala siona haja ya kubisha kitu ninacho kijuwa, hizo form 34A - B kuna ngapi ambazo zilikosa sifa baada ya kupitiwa upya. Sehemu nyingine matokeo yalikuwa yanatangazwa bila hata hizo forms kuwa scanned. Servers logs ilichukuwa muda gani mpaka kuwasilishwa mahakani. Hata access to servers ilichiluwa nguvu ya ziada mpaka kuipata. Anyway wewe mwenzagu umeamua kuamini unavyo amini, na mimi naamini vingine labda tuachie hapo.
 
Form34B mwisho wa siku, ziliokotwa zote au hazikuokotwa? Ukishajibu swali hilo, rudi kwenye kesi ya Maraga na wenzake uone walitumia fomu gani kufikia uamuzi wao. Fomu feki ambazo hadi sasa hivi kuna kesi dhidi ya registar wa mahakama ya kilele. Inasemekana alishawishiwa na NASA kuingiza ushahidi ghushi kwenye kesi wakati Form34B zote zilizotumika kwenye uchaguzi zilikuwa sawa!
 
Back
Top Bottom