Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa bora wafanye hivyo kuepuka mkanganyikoKama vipi kila nchi ijenge reli yake mpaka mpakani. Na kusiwepo na ubia wa aina yoyote ile ili kuepukana na mkanganyiko usio wa lazima siku za baadaye kama huu tunao ushuhudia hivi sasa kwenye reli ya TAZARA.
Burundi ni waaminifu kwetu kuliko PAKA, napendekeza uhusiano wetu tuujenge Zaidi na Burundi kuliko Rwanda. kagame alipandisha tozo za maroli yanayopita kwake kwenda congo kwa karibia laki tano, ili kutukomoa, kwasababu anajua kwa pande ile hatuna njia nyingine kupeleka mizigo congo, na ametaka madereva wetu wakifika mpakani wakabidhi magari kwa madereva wa Rwanda ili wanyarwanda wapate ajira....ana kiburi chote, lazima tuwe na mbadala.Burundi na Tanzania zimetia saini mkataba wa $900m kujenga njia ya reli itakayounganisha nchi hizo mbili jirani, tovuti ya Citizen imeripoti.
Reli ya 282km ya standard gauge itaanzia Uvinza mkoani Kigoma nchini Tanzania hadi Gitega, mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, ripoti ilisema.
Waziri wa Mipango na Fedha wa Tanzania Mwigulu Nchemba alisema nchi hizo mbili "zitatafuta maeneo ambayo tunaweza kupata fedha za kufadhili mradi huo".
Inatarajiwa kuwa reli hiyo itaunganisha bandari ya Dar es Salaam na nchi kadhaa jirani zisizo na bandari, zikiwemo DR Congo na Rwanda.
Inaweza kusaidia kupunguza gharama za usafirishaji mizigo mkoani humo kwa asilimia 40, Mwananchi ilisema.
Tanzania inalenga kujenga mtandao wa reli wa kilomita 2,561 kwa matumaini ya kukuza biashara Afrika Mashariki na Kati.
Dar-Moro tu mpk leo Ni porojo. Hio ya Kigoma sijui itafika awamu ya ngapi huko.Huenda watajenga ni swala la muda ngoja tusubiri
Budget yote ya Burundi kwa mwaka huu Ni $869.7 million 😄😄😄Hata wewe mtoa mada unaamini Kama Ni kweli?
Magaidi wa Cabo Delgado wanatisha,hatuji ng'oHuko hata Ziara hawataki kufanya kwa vile hawapeleki miradi
Dar-moro tu mpk leo Ni porojo.Hio ya kigoma sijui itafika awamu ya ngapi huko.
Sasa huoni huo mkataba utakuwa ni wa Kimangungo! Reli ya TAZARA inajitosheleza kabisa kwa mahitaji ya Tanzania peke yake kutokana na kupitia maeneo mengi ya vijijini na mjini, na yenye uzalishaji mkubwa wa mazao ya biashara. Achilia mbali wingi wa abiria wanao itumia hii reli katika vipindi vyote vya msimu wa mwaka!Hata TAZARA kila nchi iligharimia upande wake, ila mkataba unataka uendeshaji uwe wa pamoja na kwa mujibu wa mkataba Zambia ndiyo itakuwa inatoa Mkurugenzi Mkuu na Tanzania kutoa Naibu Mkurugenzi Mkuu.
Burundi ni waaminifu kwetu kuliko PAKA, napendekeza uhusiano wetu tuujenge Zaidi na Burundi kuliko Rwanda. kagame alipandisha tozo za maroli yanayopita kwake kwenda congo kwa karibia laki tano, ili kutukomoa, kwasababu anajua kwa pande ile hatuna njia nyingine kupeleka mizigo congo, na ametaka madereva wetu wakifika mpakani wakabidhi magari kwa madereva wa Rwanda ili wanyarwanda wapate ajira....ana kiburi chote, lazima tuwe na mbadala.
kweli japo kwa upande wake alikuwa akitengeneza ajira kwa watu wake.Burundi ni waaminifu kwetu kuliko PAKA, napendekeza uhusiano wetu tuujenge Zaidi na Burundi kuliko Rwanda. kagame alipandisha tozo za maroli yanayopita kwake kwenda congo kwa karibia laki tano, ili kutukomoa, kwasababu anajua kwa pande ile hatuna njia nyingine kupeleka mizigo congo, na ametaka madereva wetu wakifika mpakani wakabidhi magari kwa madereva wa Rwanda ili wanyarwanda wapate ajira....ana kiburi chote, lazima tuwe na mbadala.
Lengo la kujenga TAZARA ilikuwa kusafirisha shaba kutoka Zambia na ndiyo kisa cha mkataba huo wa hovyo. Sasa sifahamu kwa nini serikali inashindwa kuanzisha mchakato wa kubadilisha mkataba huu kwa sababu hivi sasa Zambia inapitisha kiasi kikubwa cha shaba yake bandari ya Afrika ya Kusini.Sasa huoni huo mkataba utakuwa ni wa Kimangungo! Reli ya TAZARA inajitosheleza kabisa kwa mahitaji ya Tanzania peke yake kutokana na kupitia maeneo mengi ya vijijini na mjini, na yenye uzalishaji mkubwa wa mazao ya biashara. Achilia mbali wingi wa abiria wanao itumia hii reli katika vipindi vyote vya msimu wa mwaka!
Sasa leo hii TAZARA iko wapo! Iko ICU! Huduma ni mbovu kupitiliza! Na chanzo kikuu ni huu mkataba wao mbovu na Zambia. Ni kwa nini kila nchi isijitegemee kwa kila kitu kwenye uendeshaji wa reli yake?
Kusini muwe wapole..endeleeni na manyago.Naona ukanda wa kusini unategwa
Hapo unakuwa umeilenga kongo sio burundi kama ilivoanishwa.Burundi kuna biashara gani ya kutulipa
sio habar njema sana kwetu...!! sababu ukinukuu maneno ya wazir wa fedha anakwambia nchi hizo zikukubaliana kuangalia wapi watatafuta pakupata fedha ya kufadhili mradi huo" tafsir yake ni kwamba kwa kipindi hk wanaangalia wapi wanaweza wakakopa sasa maana yake deni la taifa litazid ku shoot tu yaan nchi inazid kuongeza madeni, mfumko wa bei kwa maana ya gharama za maisha zinazidi kupanda na hakuna unafuu wowote wa maisha! sasa sijui tunaelekea wapiAsante kwa taarifa, mipango waliyopanga itimie...
sio habar njema sana kwetu...!! sababu ukinukuu maneno ya wazir wa fedha anakwambia nchi hizo zikukubaliana kuangalia wapi watatafuta pakupata fedha ya kufadhili mradi huo" tafsir yake ni kwamba kwa kipindi hk wanaangalia wapi wanaweza wakakopa sasa maana yake deni la taifa litazid ku shoot tu yaan nchi inazid kuongeza madeni, mfumko wa bei kwa maana ya gharama za maisha zinazidi kupanda na hakuna unafuu wowote wa maisha! sasa sijui tunaelekea wapi
DRC is big economy, juhudi zote za kuimarisha miundombinu lazima zilenge kwenye uchumi mkubwaHapo unakuwa umeilenga kongo sio burundi kama ilivoanishwa.
Burunfi wako chini sana kiuchumi, kielimu na karibu kwenye kila kitu EA, ajabu Tanzania imemkumbatia sana kama ally wake mkubwa.Kwa nini mkuu