Tanzania na Burundi msije mkashangaa majirani na hata watu kutokea Ulaya wakikimbilia kuja kwenye nchi yenu ya asali na maziwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna video, Watanzania wanachekelea na kuisambaza kwenye mitandao ya mdada anayesemekana ni Mkenya aliyetelekezwa na wenzake baada ya kuonekana na dalili za Corona. Nawashangaa sana Watanzania wanaojifanya kutokujua nini kinaendelea.

Leo hii Tanzania na Burundi ukanda huu ndio wanapima watu wachache sana kwa siku, hii imepelekea wao kuonekana kana kwamba kirusi cha Corona hakipo sana kwao, ukizingatia pia haya mataifa mawili ndio bado hayajafunga mipaka na mpaka sasa kwao kila kitu ruksa, hamna tahadhari wala nini, full mibanano kwenye madaladala na kote kote.

Hata juzi mwanahabari nguli na mwana JF ndugu Pascal Mayalla alianzisha uzi unaomtaja rais Magufuli kama nabii kisa kuna Mkenya kaandika kumsifia huyo rais wao kwa kutofunga mipaka wala kubana chochote au mizunguko ya watu, ambapo inategemewa rais Uhuru aige pia kwa kulegeza.

Mataifa mengine yanayopima watu wengi ili kupata uhalsia wa hali ilivyo mtaani, yameamua hamna haja ya kupima watu wachache na kuishia kuweka taswira inayopotosha kwamba hauna waathirika au kila kitu shwari, mataifa yanayopima sana yamelazimika kufunga mipaka na kuingia kwenye lockdowns na wengine curfews (Kenya).

Hizi lockdowns na curfews ni balaa, zinatesa, tunaopitia hii hali tunaweza tukawaambia ilivyo, na inapelekea wote tunaishia kuona Tanzania kama nchi ya asali na maziwa, kwamba wamebarikiwa sana kiasi cha wao kuachiwa wafanye watakavyo bila kuzuiwa sehemu yoyote na maambukizi kwao ni machache, na rais wao alishatangaza kwamba hafungi mipaka, hivyo Watanzania msikae mkishangaa kwanini majirani wanakimbilia kuja kwenu huko, mtaenedelea kuibukiwa na watu wanaokohoa kohoa.

Mpaka sasa idadi ya vipimo kwa siku
Rwanda wanapima 842 kwa siku na wapo kwenye lockdown
Kenya juzi tulipima 766 kwa siku na tupo kwenye curfew
Uganda wanapima 555 kwa siku na wapo kwenye lockdown
Tanzania nahisi wanapima 10 kwa siku maana tangu waanze kupima sijui hata kama wamefikisha jumla ya 500
Burundi ndio hata sijui wanachokifanya

Huyo mdada Mkenya anayeumwa dalili za Corona nimejaribu kujiuliza nini kinaweza kikasababisha Mkenya kwa akili zake ajue anaumwa Corona, aamue kusafiri kutokea Nairobi mpaka kwenda Tanzania, hapo kuna mawili:

- Aidha itakuwa kuna waganga wa Tanzania ambao labda wanajinadi kisiri kwamba wanatibu Corona, na ndio maana mpaka sasa maambukizi yametajwa machache huko, labda wanasema yote ni kwa ajili ya dawa zao wanazowapa Watanzania, hili linawezekana ukizingatia hiyo Tanzania ndio nchi ya yule babu aliyeidhinishwa na serikali kupokeza kikombe chake cha miujiza, watu walitokea mataifa hadi ya Ulaya, wengine walikua wanatua hata kwa helikopta.

- Sababu nyingine, inawezekana labda watu wameaminishwa kwamba hewa ya Tanzania inatibu kiasi kwamba muathirika ukifika Tanzania kirusi kinakukimbia, na ndio maana huko watu wanaendelea na shughuli wakifanya kila kitu bila kudhibitiwa.

Sasa hapo ndiyo msishangae kuendelea kuibukiwa na watu wanaofuata hiyo miujiza yenu, hata walioelimika watakuja tu maana mtu ukiumwa, elimu hukutokea maskioni na puani unabaki mtupu na tayari kufanya chochote.
 
Mzee bado anaendeleza kauli yake kwamba maombi na eti msalaba ndio jibu sahihi kwenye vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya COVID-19. Tena anawahutubia wananchi kanisani akiwaambia kwamba hatafunga mipaka wala kuwaamrisha wasitoke nje. Anadai bandari ya Dar inawahudumia watu wengi sana na kwamba watanzania waendelee kuchapa kazi kama kawa. Magufuli asema Tanzania haitafunga mipaka, kuzuia watu ndani kwa sababu ya Corona Kumbuka kuna watz ambao tayari wameaga dunia kwa sababu ya Corona. Sijui ubavu wa kuikashifu Kenya wanaipata wapi hawa viumbe wafia chama.
 
Mzee bado anaendeleza kauli yake kwamba maombi na eti msalaba ndio jibu sahihi kwenye vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya COVID-19. Tena anawahutubia wananchi kanisani akiwaambia kwamba hatafunga mipaka wala kuwaamrisha wasitoke nje. Anadai bandari ya Dar inawahudumia watu wengi sana na kwamba watanzania waendelee kuchapa kazi kama kawa. Magufuli asema Tanzania haitafunga mipaka, kuzuia watu ndani kwa Kumbuka kuna watz ambao tayari wameaga dunia kwa sababu ya Corona. Sijui ubavu wa kuikashifu Kenya wanaipata wapi hawa viumbe wafia chama.
Ubavu unapatikana hapa

197 vs 32

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee bado anaendeleza kauli yake kwamba maombi na eti msalaba ndio jibu sahihi kwenye vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya COVID-19. Tena anawahutubia wananchi kanisani akiwaambia kwamba hatafunga mipaka wala kuwaamrisha wasitoke nje. Anadai bandari ya Dar inawahudumia watu wengi sana na kwamba watanzania waendelee kuchapa kazi kama kawa. Magufuli asema Tanzania haitafunga mipaka, kuzuia watu ndani kwa sababu ya Corona Kumbuka kuna watz ambao tayari wameaga dunia kwa sababu ya Corona. Sijui ubavu wa kuikashifu Kenya wanaipata wapi hawa viumbe wafia chama.

Wamekaa hawapimi ili kubaini hali ilivyo mtaani, inachangia namba zao kuonekana kidogo, waendelee hivyo waone nyomi ya majirani wakivuka mipaka kwenda kupumua hiyo hewa yao inayoua kirusi. Kuanzia Zambia, Malawi, Rwanda, Uganda hadi Kenya tutatiririka huko kama mazombi huku tukikohoa kohoa.....
 
Ubavu unapatikana hapa

197 vs 32
Lesotho-0, Comoros-0, S.Sudan-4, Burundi-5, CAR-7 mbona hata nyinyi pia mmefeli? Mbona mnalazimisha tuwaige wakati tuna mfano mzuri sana wa kuiga, kwa Lesotho? Hivi virusi vimewaumbua kweli kweli na akili zenu za mende. Kufikia jana Kenya imepima jumla ya sampuli 7,449 na ndio hizo 197 zikapatikana +ve. Nipe takwimu za Tz, mmepima wangapi kufikia sasa? Coronavirus – Kenya: Update of Coronavirus situation in the country and response measures as at 12th April 2020 - CNBC Africa
 
Tena hii kitu sio mashindano kabsa ..kabsa..hata hao 32 hali ni mbaya na hamna la kujisifia tume control chochote ...tumuombe Mungu atusaidie hali ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
hali ni mbaya sana aisee... walipimwa 14 na wote wakapatikana nao ikaleta hali ya taharuki na hapo ikumbukwe 13 wametokea Dar.
sasa hivi napanga kutorokea mikoani kabla lockdown jijini Dar.
 
Lesotho-0, Comoros-0, S.Sudan-4, Burundi-5, CAR-7 mbona hata nyinyi pia mmefeli? Mbona mnalazimisha tuwaige wakati tuna mfano mzuri sana wa kuiga, kwa Lesotho? Hivi virusi vimewaumbua kweli kweli na akili zenu za mende. Kufikia jana Kenya imepima jumla ya sampuli 7,449 na ndio hizo 197 zikapatikana +ve. Nipe takwimu za Tz, mmepima wangapi kufikia sasa? Coronavirus – Kenya: Update of Coronavirus situation in the country and response measures as at 12th April 2020 - CNBC Africa

Nashauri tuwaige hawa Watanzania na Warundi, tuwe tunapima wachache tu, kama kumi hivi kwa siku, mtaani tuachie kila kitu ruksa, tufungue hata mipaka, huko mbele ya safari tutajuana tu, wakufa afe na wa kupona ajiponee....hehehehe
Maana kuna Wakenya wanafanya hata nikate tamaa, wana akili za Kitanzania kabisa, yaani jana nilikua natembea tembea zangu mtaani, jamaa hawachukui tahadhari, wanakusanyika makundi wakipiga stori za Corona, iliniuma sana.
 
Nashauri tuwaige hawa Watanzania na Warundi, tupime wachache tu, kama kumi kwa siku, tufungue mipaka, huko mbele ya safari tutajuana tu, wakufa afe wa kupona ajiponee....hehehehe
Maana kuna Wakenya wanafanya nikate tamaa, wana akili za Kitanzania, yaani jana nilikua natembea tembea zangu mtaani, jamaa hawachukui tahadhari, wanakusanyika makundi wakipiga stori za Corona, iliniuma sana.
Ingekuwa wanaturai tuwaige kwenye masuala ya maana na yenye manufaa ningewaunga mkono. Ila sio huu upuuzi wa kutupigia kelele nyingi wakitaka tufanane nao ndio turudi nyuma kwa hatua zaidi ya kumi. Nashangaa kuwaona wanavoshabikia vitu vya kipumbavu, kisa eti chama chao, wakati wenzao kadhaa tayari ni wendazao. 'Personal responsibility' ndio kila kitu kwenye vita hivi. Ukijisumbua na ujinga wa baadhi ya waafrika wenzetu utapandwa na presha bure tu. Watu wanakenua kenua huku wakihatarisha maisha ya wenzao, sanasana 'senior citizens'. Mababu zao, wajomba zao, wazazi.
 
Wamekaa hawapimi ili kubaini hali ilivyo mtaani, inachangia namba zao kuonekana kidogo, waendelee hivyo waone nyomi ya majirani wakivuka mipaka kwenda kupumua hiyo hewa yao inayoua kirusi. Kuanzia Zambia, Malawi, Rwanda, Uganda hadi Kenya tutatiririka huko kama mazombi huku tukikohoa kohoa.....
Kwamba mnaamini mkija Tz mtapona? Karibuni
 
Gonjwa hili lipo na halina dawa, tujikinge usisambae:

HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You

SARS2-Covid-19 virus can cause severe problems. This happens when it moves down the respiratory tract and infects the lungs, which are even richer in cells with Ace-2 receptors. Many of these cells are destroyed, and lungs become congested with bits of broken cell. In these cases, patients will require treatment in intensive care.
Even worse, in some cases, a person’s immune system goes into overdrive, attracting cells to the lungs in order to attack the virus, resulting in inflammation. This process can run out of control, more immune cells pour in, and the inflammation gets worse. This is known as a cytokine storm. (In Greek, “cyto” means cell and “kino” means movement.) In some cases, this can kill the patient.
Just why cytokine storms occur in some patients but not in the vast majority is unclear. One possibility is that some people have versions of Ace-2 receptors that are slightly more vulnerable to attacks from the coronavirus than are those of most people.

Source : Duc C.
 
Kuna video, Watanzania wanachekelea na kuisambaza kwenye mitandao ya mdada anayesemekana ni Mkenya aliyetelekezwa na wenzake baada ya kuonekana na dalili za Corona. Nawashangaa sana Watanzania wanaojifanya kutokujua nini kinaendelea.

Leo hii Tanzania na Burundi ukanda huu ndio wanapima watu wachache sana kwa siku, hii imepelekea wao kuonekana kana kwamba kirusi cha Corona hakipo sana kwao, ukizingatia pia haya mataifa mawili ndio bado hayajafunga mipaka na mpaka sasa kwao kila kitu ruksa, hamna tahadhari wala nini, full mibanano kwenye madaladala na kote kote.

Hata juzi mwanahabari nguli na mwana JF ndugu Pascal Mayalla alianzisha uzi unaomtaja rais Magufuli kama nabii kisa kuna Mkenya kaandika kumsifia huyo rais wao kwa kutofunga mipaka wala kubana chochote au mizunguko ya watu, ambapo inategemewa rais Uhuru aige pia kwa kulegeza.

Mataifa mengine yanayopima watu wengi ili kupata uhalsia wa hali ilivyo mtaani, yameamua hamna haja ya kupima watu wachache na kuishia kuweka taswira inayopotosha kwamba hauna waathirika au kila kitu shwari, mataifa yanayopima sana yamelazimika kufunga mipaka na kuingia kwenye lockdowns na wengine curfews (Kenya).

Hizi lockdowns na curfews ni balaa, zinatesa, tunaopitia hii hali tunaweza tukawaambia ilivyo, na inapelekea wote tunaishia kuona Tanzania kama nchi ya asali na maziwa, kwamba wamebarikiwa sana kiasi cha wao kuachiwa wafanye watakavyo bila kuzuiwa sehemu yoyote na maambukizi kwao ni machache, na rais wao alishatangaza kwamba hafungi mipaka, hivyo Watanzania msikae mkishangaa kwanini majirani wanakimbilia kuja kwenu huko, mtaenedelea kuibukiwa na watu wanaokohoa kohoa.

Mpaka sasa idadi ya vipimo kwa siku
Rwanda wanapima 842 kwa siku na wapo kwenye lockdown
Kenya juzi tulipima 766 kwa siku na tupo kwenye curfew
Uganda wanapima 555 kwa siku na wapo kwenye lockdown
Tanzania nahisi wanapima 10 kwa siku maana tangu waanze kupima sijui hata kama wamefikisha jumla ya 500
Burundi ndio hata sijui wanachokifanya

Huyo mdada Mkenya anayeumwa dalili za Corona nimejaribu kujiuliza nini kinaweza kikasababisha Mkenya kwa akili zake ajue anaumwa Corona, aamue kusafiri kutokea Nairobi mpaka kwenda Tanzania, hapo kuna mawili:

- Aidha itakuwa kuna waganga wa Tanzania ambao labda wanajinadi kisiri kwamba wanatibu Corona, na ndio maana mpaka sasa maambukizi yametajwa machache huko, labda wanasema yote ni kwa ajili ya dawa zao wanazowapa Watanzania, hili linawezekana ukizingatia hiyo Tanzania ndio nchi ya yule babu aliyeidhinishwa na serikali kupokeza kikombe chake cha miujiza, watu walitokea mataifa hadi ya Ulaya, wengine walikua wanatua hata kwa helikopta.

- Sababu nyingine, inawezekana labda watu wameaminishwa kwamba hewa ya Tanzania inatibu kiasi kwamba muathirika ukifika Tanzania kirusi kinakukimbia, na ndio maana huko watu wanaendelea na shughuli wakifanya kila kitu bila kudhibitiwa.

Sasa hapo ndiyo msishangae kuendelea kuibukiwa na watu wanaofuata hiyo miujiza yenu, hata walioelimika watakuja tu maana mtu ukiumwa, elimu hukutokea maskioni na puani unabaki mtupu na tayari kufanya chochote.
Eti Burundi haijafunga mipaka yake

Propaganda fake kulazimisha unachokiwaza wewe kiwe reality ndio hufanya uonekane kituko kwenye kila unachopandisha jukwaani

Burundi ilifunga mipaka yake mapema na siku nyingi sana isipokua tu kwa malori ya mizigo kutoka Tanzania sababu wanajua fika wanaishi kwa jeuri yetu kama nchi zote zinazotunguka kama Kenya
 
Gonjwa hili lipo na halina dawa, tujikinge usisambae:

HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You

SARS2-Covid-19 virus can cause severe problems. This happens when it moves down the respiratory tract and infects the lungs, which are even richer in cells with Ace-2 receptors. Many of these cells are destroyed, and lungs become congested with bits of broken cell. In these cases, patients will require treatment in intensive care.
Even worse, in some cases, a person’s immune system goes into overdrive, attracting cells to the lungs in order to attack the virus, resulting in inflammation. This process can run out of control, more immune cells pour in, and the inflammation gets worse. This is known as a cytokine storm. (In Greek, “cyto” means cell and “kino” means movement.) In some cases, this can kill the patient.
Just why cytokine storms occur in some patients but not in the vast majority is unclear. One possibility is that some people have versions of Ace-2 receptors that are slightly more vulnerable to attacks from the coronavirus than are those of most people.

Source : Duc C.

Anaeleza vizuri sana huyu.
 
Kuna video, Watanzania wanachekelea na kuisambaza kwenye mitandao ya mdada anayesemekana ni Mkenya aliyetelekezwa na wenzake baada ya kuonekana na dalili za Corona. Nawashangaa sana Watanzania wanaojifanya kutokujua nini kinaendelea.

Leo hii Tanzania na Burundi ukanda huu ndio wanapima watu wachache sana kwa siku, hii imepelekea wao kuonekana kana kwamba kirusi cha Corona hakipo sana kwao, ukizingatia pia haya mataifa mawili ndio bado hayajafunga mipaka na mpaka sasa kwao kila kitu ruksa, hamna tahadhari wala nini, full mibanano kwenye madaladala na kote kote.

Hata juzi mwanahabari nguli na mwana JF ndugu Pascal Mayalla alianzisha uzi unaomtaja rais Magufuli kama nabii kisa kuna Mkenya kaandika kumsifia huyo rais wao kwa kutofunga mipaka wala kubana chochote au mizunguko ya watu, ambapo inategemewa rais Uhuru aige pia kwa kulegeza.

Mataifa mengine yanayopima watu wengi ili kupata uhalsia wa hali ilivyo mtaani, yameamua hamna haja ya kupima watu wachache na kuishia kuweka taswira inayopotosha kwamba hauna waathirika au kila kitu shwari, mataifa yanayopima sana yamelazimika kufunga mipaka na kuingia kwenye lockdowns na wengine curfews (Kenya).

Hizi lockdowns na curfews ni balaa, zinatesa, tunaopitia hii hali tunaweza tukawaambia ilivyo, na inapelekea wote tunaishia kuona Tanzania kama nchi ya asali na maziwa, kwamba wamebarikiwa sana kiasi cha wao kuachiwa wafanye watakavyo bila kuzuiwa sehemu yoyote na maambukizi kwao ni machache, na rais wao alishatangaza kwamba hafungi mipaka, hivyo Watanzania msikae mkishangaa kwanini majirani wanakimbilia kuja kwenu huko, mtaenedelea kuibukiwa na watu wanaokohoa kohoa.

Mpaka sasa idadi ya vipimo kwa siku
Rwanda wanapima 842 kwa siku na wapo kwenye lockdown
Kenya juzi tulipima 766 kwa siku na tupo kwenye curfew
Uganda wanapima 555 kwa siku na wapo kwenye lockdown
Tanzania nahisi wanapima 10 kwa siku maana tangu waanze kupima sijui hata kama wamefikisha jumla ya 500
Burundi ndio hata sijui wanachokifanya

Huyo mdada Mkenya anayeumwa dalili za Corona nimejaribu kujiuliza nini kinaweza kikasababisha Mkenya kwa akili zake ajue anaumwa Corona, aamue kusafiri kutokea Nairobi mpaka kwenda Tanzania, hapo kuna mawili:

- Aidha itakuwa kuna waganga wa Tanzania ambao labda wanajinadi kisiri kwamba wanatibu Corona, na ndio maana mpaka sasa maambukizi yametajwa machache huko, labda wanasema yote ni kwa ajili ya dawa zao wanazowapa Watanzania, hili linawezekana ukizingatia hiyo Tanzania ndio nchi ya yule babu aliyeidhinishwa na serikali kupokeza kikombe chake cha miujiza, watu walitokea mataifa hadi ya Ulaya, wengine walikua wanatua hata kwa helikopta.

- Sababu nyingine, inawezekana labda watu wameaminishwa kwamba hewa ya Tanzania inatibu kiasi kwamba muathirika ukifika Tanzania kirusi kinakukimbia, na ndio maana huko watu wanaendelea na shughuli wakifanya kila kitu bila kudhibitiwa.

Sasa hapo ndiyo msishangae kuendelea kuibukiwa na watu wanaofuata hiyo miujiza yenu, hata walioelimika watakuja tu maana mtu ukiumwa, elimu hukutokea maskioni na puani unabaki mtupu na tayari kufanya chochote.
Fuata ya nchini kwako Kenya, achana na sisi!!
 
Back
Top Bottom