Tanzania na Burundi wakwama kikao kingine cha EAC cha kujadili Corona

MAGUFULI YUPO SAHIHI

Sent using Jamii Forums mobile app
It is not a matter of right or wrong. If he is right then he should have no problem explaining to his regional peers why they are wrong. Of utmost importance is for him to attend, then he can accept or decline to accept any of the resolutions passed. Why run away from regional meetings?
 

Huyo umemujibu kwa hii lugha inayokimbiwa huko...sitegemei akuelewe kitu.
 
Ninyi wakenya ni watu wabinafsi tena mna roho mbaya sana, kwasababu hili jambo linamaslahi kwenu ndio mnataka kila mtu ashiriki hata kama kwetu halina maslahi?. Mnakumbuka vile mlivyotia saini mkataba wa EPA na mkataba wa biashara na USA pamoja na kwamba nchi zingine zilikataa kwa kisingizio cha kulinda maslahi ya nchi yenu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Magufuli does not agree on those nonsense covid-19 measures that have made people boil stones for food & police beat people.

Why should he attend? He is making his decisions crystal clear to all - Tz can always agree on many issues with EAC but on Corona, thats a big NO. He is making a statement, he is not a sheep to be pulled into a sheep pen.

If you follow Elon Musk, you will understand why magufuli is not intrested in this nonsense

 
Tumuache kuna kitu nyuma ya pazia. TUSIANGALIE UPANDE MMOJA. Kwa kuwa yupo basi ataliongelea siku moja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Then he should attend the meeting and explain to his peers why he is right. Why run away from meetings?
 
Of course compare a trade deal to a pandemic that endangers all economies in the region.
 
By the way when Kenya does well, all of east africa does well.We are the largest market in the region for eac products which is liberalized.
 
Then he should attend the meeting and explain to his peers why he is right. Why run away from meetings?
EAC meetings are scheduled and have agendas. Magufuli has no time for empty banter with drunkards & war mongers on matters that he has already decided on and which agree with the world's smartest man on earth and in the near future mars - Elon Musk
 
MK254 Mataifa yaliyoshiriki yote yamepata pesa kwa ajili ya COVID 19; yale ambayo hayajashiriki hayakupata pesa. Huenda mkutano huo ni sehemu ya "accountability" ya hizo pesa za COVID 19
Acha kudanganya na propaganda .Mmekopeshwa hela hilo nalo unaona nnmsaada au mmeongezewa mzigo?

Magufuli kawaambia WB na IMF kuwa kama wanania nzuri na Africa wasamehe madeni ili badala ya kulipa madeni hiyo pesa itumike kupambana na Corona
 
Haha! Binafsi bado naiamini serikali yangu kwa kufanya hivyo hata kama haisemi sababu ila ninachofahamu sio kila kitu lazima tutangaziwe!,bado naona kuna kitu hakijakaa sawa.. na Tanzania sio mara ya kwanza kuwa na misimamo ya kipekee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…