OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni staili tu ya kucheza ngoma hii ila punde atageuka na kucheza kama wenzake hapo.Ina maana Magufuli ndio mwanafunzi mkaidi darasa zima, wenzake wote wanaimba na kucheza yeye anacheza sukari ya zuchu na kisketi chake.
😂😂 yaani jiwe ndiye mwenye kiburi hapo class.
Mkuu hio sio sketi ? Au unataka kumtia matatani Jamaa....Ina maana Magufuli ndio mwanafunzi mkaidi darasa zima, wenzake wote wanaimba na kucheza yeye anacheza sukari ya zuchu na kisketi chake.
Hapa ndio tuna miss point, Hakuna mtu anataka lockdown ila ni wajibu wa serikali kuwaambia watu corona ipo na tahadhari zichukuliwe sehemu zote za mikusanyiko hata barakoa wasisitize watu wavae sio kuwaambia watu corona hakuna kama ipo chache tuombe Mungu sasa ukisema chache maana yake ni nini, 10 au 1000 au 1000000 haileti maani. Mimi siungi mkono lockdown ila naunga elimu ya kujikinga. Tunaweza kila mtu akijikinga mwenyewe lakini kuna wale hawataki kuamini sasa kama nchi bila kujali unaamini au huamini lakini serikali ina base na facts, kuwa corona ipo na tahadhari hizi lazima zichukuliwe inatosha. Haya matamasha hayana faida yoyote zuieni kwanza watu wanahemeana tu tunusuru watu wazima majumbani.Hahahahahaha! inafurahisha ila all n' all JPM kwa hili la corona namuunga mkono kwa 100%, akisema aweke lock down ndo itakuwa hatari zaidi
Tutakufaaaaaaaaaaa, bora tuendelee kupambania kombe huku tukijikinga na kupiga nyungu
Viva JPM vivaaaaaaa
Hakuna anaetaka lockdown. watu waambiwe na tahadhari zichuliwe. sio kulundika watu kwenye mwendokasi as if hakuna ugonjwa mbaya zaidi hata barakoa hawavai hii kitu unaondoka na watu kama vile utani aisee... Uliza pale wizarani Dodoma mpk sasa ni madereva wangapi wamefariki? Uliza wizarani pale Dodoma ni wafanyakazi wangapi wameondoka.. Eee Mungu tuongozeHahahahahaha! inafurahisha ila all n' all JPM kwa hili la corona namuunga mkono kwa 100%, akisema aweke lock down ndo itakuwa hatari zaidi
Tutakufaaaaaaaaaaa, bora tuendelee kupambania kombe huku tukijikinga na kupiga nyungu
Viva JPM vivaaaaaaa