Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Katika mazungumzo yao, Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma na taratibu katika mipaka, pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika fursa zinazojitokeza.