Tanzania na DRC Zasisitiza Kuimarisha Biashara kwa Kuondoa Vikwazo Visivyo vya Lazima Mipakani

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911


Katika mazungumzo yao, Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma na taratibu katika mipaka, pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika fursa zinazojitokeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…