Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
Habarini wakuu, leo mda wa usiku wa manane sana baada ya kushtuka usingizini nikalala tena pamoja na kuota ndoto lakini Kuna ndoto nimeiota kwa msisitizo mkubwa Hadi nimeamka asubuhi nikiwa na furaha na nakumbuka.
Nimeota viongozi wengi wa chama tawala (CCM) wakiwa wamekasirika baada ya Mbowe kuitwa mbele katika uzinduzi wa katiba mpya na Mheshimiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku Mbowe akisita kunyanyuka kwenye kiti na wengine wakamwambia kwani huamini kuwa ulichokipigania Sasa kipo tayari?
Basi ndipo kanyanyuka na huku naona wajumbe wengine wakisema CCM ndio mwisho wake hapa.
Sitaki kusema kuwa ndoto ni ya kweli ama laa Ila ukweli nafsi yangu imeshuhudiwa mama Samia anatuacha na katiba mpya.