Tanzania na Kenya ni kama Simba na Yanga yani Watani wa Jadii

Basham

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
743
Reaction score
434
Asalam alaykum,

Kumekua na kutunisha misuli yani kuringishiana vitu(Miradi) mbali mbali iliyopo katika nchi hizi mbili tangu Enzi na Enzi.
Historia inaonesha tumenza kushirikiana katika mambo mengi tangu hapo zamani, mababu zetu walikrosi boda kutembea katika miji ya nchi hizi katika Nyanja mbali mbali in the society kama biashara, kuoleana n.k

Sisi ni ndugu tuzidi kushirikiana tuondoe tofauti na vikwazo mbali mbali hasa vya kibiashara ili tuweze kusonga mbele zaidi tukizi Kuruhusu tofauti zetu ziote mizizi hii historia tamu itapotea..

Utasikia DAR VS NAIROBI, Odinga anakabidhi kombe la Sportpesa Dar, Nasibu Abduli na Ali Salehe Kiba wameona Mombasa. Mara Lowasa yuko kwenye kampeni na UK n.k

Lakini mambo ya utani wa Jadi pia yanachochea Maendeleo, Wanataka kuiga BRT najua wataboresha zaidi ya yetu. Tumeiba wazo la SGR Lakini yakwetu no Bomba zaidi ile ya kwao nazani ni kiberenge ile ni inapita pale sio SGR

Mengi yakusema Leo niishie hapa

N.B; Nami pia Soon Ntakuja kuchukua dada Yenu. In shaa Allah
 
Tumeiba wazo la SGR!! ki vp! Mbona huu mpango wa SGR upo zamani sana toka enzi za Mwinyi (Maboresho ya reli ya Kati) kufika 2012 mpango uli ivaa kabisa Magu alivyo ingia alikuta mikataba ya awali imesha sainiwa, mjenzi na financer wamesha julikana. Kama Kenya ndiyo aliyegundua technology ya SGR hapo sawa. Halafu kama unafuatilia BRT yao hawaboreshi kitu, wao wamechora barabara siyo kujenga na kusema hapa ndiyo ma bus ya BRT yatapita. Main stations, feeder stations, yards hilo kwao halipo! sasa hayo ni maboresho gani! Fuatilia mambo mzee, haina haja ya kufika London kujua capacity ya London bridge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli sisi ni kama simba na yanga . Tupendane jamani. Ki ukweli Kenya kuna sehemu nyingi sana wametupita. Na sisi pia kuna sehemu nyingi tu wantuonea donge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie mnayo SGR, tangu lini jameni naomba mnijuze maana itakua nimepitwa na taarifa, hivi nauli ya SGR yenu tokea Dar hadi Moro shilingi ngapi nije niitumie ili nikamtembelee mshkaji wangu pale Moro.....
 
Hivi nyie mnayo SGR, tangu lini jameni naomba mnijuze maana itakua nimepitwa na taarifa, hivi nauli ya SGR yenu tokea Dar hadi Moro shilingi ngapi nije niitumie ili nikamtembelee mshkaji wangu pale Moro.....
Coming soon mkuu stay stuned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…