Basham
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 743
- 434
Asalam alaykum,
Kumekua na kutunisha misuli yani kuringishiana vitu(Miradi) mbali mbali iliyopo katika nchi hizi mbili tangu Enzi na Enzi.
Historia inaonesha tumenza kushirikiana katika mambo mengi tangu hapo zamani, mababu zetu walikrosi boda kutembea katika miji ya nchi hizi katika Nyanja mbali mbali in the society kama biashara, kuoleana n.k
Sisi ni ndugu tuzidi kushirikiana tuondoe tofauti na vikwazo mbali mbali hasa vya kibiashara ili tuweze kusonga mbele zaidi tukizi Kuruhusu tofauti zetu ziote mizizi hii historia tamu itapotea..
Utasikia DAR VS NAIROBI, Odinga anakabidhi kombe la Sportpesa Dar, Nasibu Abduli na Ali Salehe Kiba wameona Mombasa. Mara Lowasa yuko kwenye kampeni na UK n.k
Lakini mambo ya utani wa Jadi pia yanachochea Maendeleo, Wanataka kuiga BRT najua wataboresha zaidi ya yetu. Tumeiba wazo la SGR Lakini yakwetu no Bomba zaidi ile ya kwao nazani ni kiberenge ile ni inapita pale sio SGR
Mengi yakusema Leo niishie hapa
N.B; Nami pia Soon Ntakuja kuchukua dada Yenu. In shaa Allah