johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Pale 7 7 used zilikuwa zinauzwa tsh 20 millionToyota Prius ya aina hiyo bei yake ni shilingi milioni sitini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale 7 7 used zilikuwa zinauzwa tsh 20 millionToyota Prius ya aina hiyo bei yake ni shilingi milioni sitini
Ni sawa.Bado nabaki palepale imekula kwao wala sio siri kama wamenunuaPale 7 7 used zilikuwa zinauzwa tsh 20 million
Stock iliisha wengine wanaosubiri meli ya SeptemberKama kweli kuna walionunua imekula kwao
Tupe sababu mkuu!Ni sawa.Bado nabaki palepale imekula kwao wala sio siri kama wamenunua
Wasubiri tu wakianza kuyatumia ndio watajua definition ya Electric car ni nini? Kwa uzoefu watakao upata kwa kuzitumiaStock iliisha wengine wanaosubiri meli ya September
Kaka toyota prius inayouzwa $3000-4000 beforward ndio gari ya million 60?Toyota Prius ya aina hiyo bei yake ni shilingi milioni sitini hiyo sio bei ya kutisha?
Kila kilomita 100 lazima ukachaji na charge kwa gari used yaweza tumia masaa mawili kuchaji hiyo gari.Hivyo mwenye nalo ahakikishe chaji ikiisha ana muda wa kwenda kushinda sehemu ya kuchaji minimum masaa mawiliTupe sababu mkuu!
Ya umeme used?Kaka toyota prius inayouzwa $3000-4000 beforward ndio gari ya million 60?
Yeah mzee baba kodi yake hii hapa kwa ya 2009.Ya umeme used?
Mzee mwenzangu gari zinatofautiana Range. Iko Tesla inatembea kilometre 500 kwa single charge. Ina maana kwa vituo vya kuchaji unaweza ukatembea Dar-Iringa ukachajisha. Mfumo ukiwa wa fast charge ni ndani ya nusu saa unakuwa na 80% ya charge tayari. Unamalizia safari yako hadi MbeyaKila kilomita 100 lazima ukachaji na charge kwa gari used yaweza tumia masaa mawili kuchaji hiyo gari.Hivyo mwenye nalo ahakikishe chaji ikiisha ana muda wa kwenda kushinda sehemu ya kuchaji minimum masaa mawili
Safari ndefu hayafai.Fikiria kila kilomita 100 unaenda kuchaji unakaa masaa mawili kuhubiri lijae chaji .Safari ya kwenda Mbeya kilomita 800 utahitaji njiani kila kilomita 100 uende kuchaji masaa mawili hadi kufika Mbeya utahitaji kutumia masaa 14 njiani kwenye vituo vya kuchaji tu ili safari yako ufikie Mbeya.Hivyo badala ya kutumia masaa 12 kwa gari ya petrol gari ya umeme.utatumia madaa 26. Yale 12 ya safari jumlisha 14 ya kuchaji njiani.Kwa hiyo ukiondoka Dar es salaam saa 12 asubuhi mfano leo utafika Mbeya saa mbili asubuhi Kesho. Mchana wote utakuishia njiani na usiku wote utakuishia njiani saa mbili asubuhi ndio utawasili Mbeya mjini
Dogo kachukua betri inatembeza km 400 ila kuchaji ni masaa 6Kila kilomita 100 lazima ukachaji na charge kwa gari used yaweza tumia masaa mawili kuchaji hiyo gari.Hivyo mwenye nalo ahakikishe chaji ikiisha ana muda wa kwenda kushinda sehemu ya kuchaji minimum masaa mawili
Safari ndefu hayafai.Fikiria kila kilomita 100 unaenda kuchaji unakaa masaa mawili kuhubiri lijae chaji .Safari ya kwenda Mbeya kilomita 800 utahitaji njiani kila kilomita 100 uende kuchaji masaa mawili hadi kufika Mbeya utahitaji kutumia masaa 14 njiani kwenye vituo vya kuchaji tu ili safari yako ufikie Mbeya.Hivyo badala ya kutumia masaa 12 kwa gari ya petrol gari ya umeme.utatumia madaa 26. Yale 12 ya safari jumlisha 14 ya kuchaji njiani.Kwa hiyo ukiondoka Dar es salaam saa 12 asubuhi mfano leo utafika Mbeya saa mbili asubuhi Kesho. Mchana wote utakuishia njiani na usiku wote utakuishia njiani saa mbili asubuhi ndio utawasili Mbeya mjini
Kashangae Nigeria bei ya mafuta ni kubwa kuliko hapa BongoHivi Uganda si wanachimba mafuta?
Hadi wanajenga bomba kuuza nje mafuta kupitia Tanga,
Imekuwaje tena? Afrika tuna safari ndefu sana, tukifika tumechoka sana,
Inasema ni ya petrol mbona hakuna anaposema inatumia umeme au zoteYeah mzee baba kodi yake hii hapa kwa ya 2009.
View attachment 2299815Ingekuwa bei million 60 watu wa Bonyokwa wasingetembelea hii gari. Kodi 8M ukinunua kwa 7M means kwa 15-16M gari inakuwa mkononi.
Bei ya gari za Tesla umeziona?Mzee mwenzangu gari zinatofautiana Range. Iko Tesla inatembea kilometre 500 kwa single charge. Ina maana kwa vituo vya kuchaji unaweza ukatembea Dar-Iringa ukachajisha. Mfumo ukiwa wa fast charge ni ndani ya nusu saa unakuwa na 80% ya charge tayari. Unamalizia safari yako hadi Mbeya
Hamna gari hivyo kwenye za umeme zilizoko sokoni.Kwa sababu ndio kanunua .Atembelee kwanza ahakiki!! Huyo aliyemuuzia ikimzimikia porini kabla haijafika hata kilomita 200 ikamzimikia katikati ya mbuga yenye simba ndipo ataelewa hiyo chaji inatembea kilomita ngapiDogo kachukua betri inatembeza km 400 ila kuchaji ni masaa 6
Tesla bei ya nyumba hata beforward jp bei mkasiBei ya gari za Tesla umeziona?
Hata huko kwa wazungu ambako teknolojia ipo juu na mafuta bei nafuu bado wanapambana na kutumia teknolojia ya umeme, wewe unaponda wazo la museven kisa uzee mh!!Hivi Uganda si wanachimba mafuta?
Hadi wanajenga bomba kuuza nje mafuta kupitia Tanga,
Imekuwaje tena? Afrika tuna safari ndefu sana, tukifika tumechoka sana,