TANZANIA NA KENYA ZAJIPANGA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA MPKANI

TANZANIA NA KENYA ZAJIPANGA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA MPKANI

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Tanzania na Kenya zinaendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ya mpakani, kwa lengo la kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, kupunguza gharama na muda wa wafanyabiashara, pamoja na kuongeza fursa za biashara kati ya nchi hizo mbili. Ushirikiano huo unatarajiwa kuimarisha biashara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na kuongeza ufanisi wa matumizi ya mipaka kwa manufaa ya wafanyabiashara na wananchi wa pande zote.
IMG-20261026-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom