mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ukichunguza kiundani zaidi nchini Mwetu utagundua Kuna Vyeo ambavyo havisemwi na havipo kikatiba ila kiutendaji vipo
Tuangalie mifano hii
Makonda na Unaibu rais
Makonda katika ubora wake alikuwa zaidi ya mkuu wa mkoa wa kawaida maana alikuwa na uwezo wa kumfukea hata Pm hivyo alikuwa juu yake kimamlaka
Sabaya na u Black IGP
Huyu jamaa katika ulimwengu wa kawaida huku alikuwa DC kule Hai lakini uhalisia hamna Dc anaebeba silaha na kwenda kukamata wahalifu tena katika wilaya nyingine ya mkoa mwingine hivyo huyu jamaa alikuwa level sawa na IGP
Inspector Swila na UDPP
Tujuavyo kesi mahakamani hufunguliwa na Dpp kwaniaba ya Jamuhuri hivyo Dpp huwajibika kukusanya ushahidi wa kutosha na pia kutafta mashahidi lakini kilichotokea kwa moja ya shahidi kwenye kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi inayomkabili mbowe na wenzake kitendo Cha shahidi kudai kuwa taarifa ya kuhitajika mahakamani aliipata kutoka kwa swila hivyo inaonekana Inspector swila ndiye Dpp wa black national hapa nchini
Inspector Jumanne na ukurungenzi wa TISS
Huyu jamaa kila umafya inayoshutumiwa kufanywa na Jamuhuri kwa miaka mitano iliopita basi hutajwa yeye tuu Kuna uwezekano akawa na cheo zaidi ya hiki Cha mkuu wa upelelezi Arumeru
Afande Kingai
Bwana Rama huyu jamaa ndie mratibu wa mamlaka nzima ya hiden power of rule nchi hii anaweza kuandaa kesi akaifungua yeye akatoa ushahidi yeye,ukichunguza vizuri kesi ya mbowe utajua kuwa huyu jamaa si Rpc tu bali ni kiongozi mkubwa zaidi
Maswali
Je, nchi hii tuna hidden Government?
Kwanini wanaoenda zaidi ya majukumu yao hawaonywi??