smarte_r JF-Expert Member Joined Nov 8, 2013 Posts 4,564 Reaction score 12,014 Nov 25, 2021 #21 YEHODAYA said: Hao unaowaita covid 19 bungeni wanawake wote wa Chadema minongono wanasemekana Ni usalama wa Taifa wote ambao Mipango yote ya Lisu na Mbowe ya kigaidi waliimwaga vyombo vya ulinzi na usalama ikabidi Lema na Lisu wakimbie nchi Click to expand... kama ni hivyo basi tiss wanafanya kazi kizamani. kwa dunia ya sasa na maendeleo yake ya kiteknolojia, huhitaji kutumia kundi kubwa la watu ili wafatilie mienendo ya mwanasiasa wa upinzani. kwangu mimi hayo ni matumizi mabaya na ya hovyo ya resources. tiss wajitafakari.
YEHODAYA said: Hao unaowaita covid 19 bungeni wanawake wote wa Chadema minongono wanasemekana Ni usalama wa Taifa wote ambao Mipango yote ya Lisu na Mbowe ya kigaidi waliimwaga vyombo vya ulinzi na usalama ikabidi Lema na Lisu wakimbie nchi Click to expand... kama ni hivyo basi tiss wanafanya kazi kizamani. kwa dunia ya sasa na maendeleo yake ya kiteknolojia, huhitaji kutumia kundi kubwa la watu ili wafatilie mienendo ya mwanasiasa wa upinzani. kwangu mimi hayo ni matumizi mabaya na ya hovyo ya resources. tiss wajitafakari.