Tanzania na laana ya mikopo

Tanzania na laana ya mikopo

deni ni himilivu....poor tanzanians 🥲🥲
 
Mbaya zaid pamoja na mikopo yote hiyo ila maisha yanazidi kuwa magumu kwa wananchi pia kuongezeka kwa Kodi na tozo Kila sehemu sasa unabaki unaniuliza hizo pesa wanazifanyia nini kama sio kula viongozi na familia zao?
Kwani uliwatuma wakope wakuletee? Subiria tozo mpya kwenye laini za simu na kila pale.
 
Tumechoka na mikopo isiyoisha. Kila siku mikopo. Magufuli angekuwepo haya yasingetokea. Chukua gharama ya safari zilizofanyika Awamu ya Sita linganisha na Awamu ya Tano. This is too much?. UUsafiri wa Air Tanzania mpaka Korea Kusini badala ya kusafiri na usafiri wa ndege za mashirika mengine ukitumia VIP class. Jamani tuwajali wananchi.
 
Back
Top Bottom