Tumechoka na mikopo isiyoisha. Kila siku mikopo. Magufuli angekuwepo haya yasingetokea. Chukua gharama ya safari zilizofanyika Awamu ya Sita linganisha na Awamu ya Tano. This is too much?. UUsafiri wa Air Tanzania mpaka Korea Kusini badala ya kusafiri na usafiri wa ndege za mashirika mengine ukitumia VIP class. Jamani tuwajali wananchi.