Tanzania na maajabu 7 ya dunia, hii vipi wadau.

Tanzania na maajabu 7 ya dunia, hii vipi wadau.

Makambuya

Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
45
Reaction score
3
Najiuliza hivi ni kwanini TZ tumeng'ang'ania kuingiza Mlima Kilimanjaro kwenye maajabu 7 ya dunia wakati tuna maajabu mengi tu zaidi ya huo mlima? Mfano mdogo unajua kuwa TZ ni nchi ya kwanza kutoa wanafunzi wa darasa la saba hawajui kusoma nakuandika ila wanafaulu mtihani. Hii vipi wadau haiwezi kuingia kwenye maajabu 7 ya dunia?
 
Mkuu Makambuya, maajabu ni kitu kinachoweza kuonekana na kushikika (tangible object). Sasa kumaliza darasa la saba na kufaulu kuingia kidato cha I bila kufahamu kusoma na kuandika unaweza kuithibitishia dunia kuwa ni suala la ajabu na halijawahi kutokea kokote ? Halafu sio suala la kudumu maana hao vijana wanaweza kujifunza kusoma na kuondoa hilo ajabu.
 
Last edited by a moderator:
Najiuliza hivi ni kwanini TZ tumeng'ang'ania kuingiza Mlima Kilimanjaro kwenye maajabu 7 ya dunia wakati tuna maajabu mengi tu zaidi ya huo mlima? Mfano mdogo unajua kuwa TZ ni nchi ya kwanza kutoa wanafunzi wa darasa la saba hawajui kusoma nakuandika ila wanafaulu mtihani. Hii vipi wadau haiwezi kuingia kwenye maajabu 7 ya dunia?

kakojoe ukalale!
 
Bila shaka na wewe ulifaulu mtihani wa darasa la saba ukiwa hujui kusoma kwa hiyo unataka uwe sehemu ya maajabu ya dunia. Haya mkuu kazi kwako
 
Back
Top Bottom