Tanzania na maendeleo kwa miaka ijayo

Tanzania na maendeleo kwa miaka ijayo

Lazarokakai

New Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
0
Reaction score
0
TANZANIA NA MAENDELEO KWA MIAKA IJAYO

Kwa Hali ya Tanzania ya Sasa inahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo wa kisiasa zaidi ili maendeleo yapatikane kwa kuendana na Hali ya watanzania wenyewe.


1.Tanzania hii ya Sasa vitu vinapanda bei kila kukicha bila kuangalia Hali ya watanzania wenyewe na vipato vyao. Serikali yetu inatakiwa iangalie vyanzo vya mapato na kuweka kodi rafiki na anayomudu mtanzania wa Hali ya chini kabisa .

2.Wananchi waelimishwe zaidi kuhusiana na kilimo na mafunzo ya kujiajiri ili kupunguza adha ya ajira kwa watanzania wote. Wananchi waungane katika kupinga vitendo ovu na kiungwana katika kusaidia majanga yote ya nchi .


3.Serikali isimamie vyema nakusmamia na kutambua sababu haraka za bidhaa kuadimika hii itasaidia wafanya biashara kuendana na mabadiliko yeyote .

4.Wananchi wajifunze kutafuta njia mbadala ya kujisaidia pindi majanga yanapotokea kama covid 19 , moto na mengine mengi.

BY LAZARO AITAGAI KAKAI
 
Back
Top Bottom