Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu kuendeleza maeneo muhimu ya ushirikiano wa pande mbili na kuthibitisha dhamira ya pamoja ya ushirikiano wa kisasa na wenye manufaa kwa pande zote.

Balozi Lentz, aliyekuwa ameambatana na Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Uchumi, alisisitiza nia ya Washington ya kuweka upya uhusiano huo na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kiusalama kati ya mataifa hayo mawili.

“ Marekani imejidhatiti katika ushirikiano ambao haujajikita kwenye utegemezi wa misaada, bali katika ustawi wa pamoja,” alisema Balozi Lentz.

Mazungumzo hayo yalijikita katika hali ya miradi mikubwa ya kimkakati yenye uhusiano na Marekani, ambayo imekuwa katika hatua za majadiliano.

Pande zote mbili zilikubaliana kuwa mchakato wa majadiliano ya uwekezaji mikubwa—miradi ya LNG na Tembo Nickel—umeingia hatua za mwisho, zikisubiri kutiwa saini rasmi.

Mradi wa tatu ulioguswa ni Mahenge Graphite, ambao bado unaendelea kufanyiwa kazi.

Miradi Mikuu (Flagship Projects)

1. Mradi wa LNG — Thamani inayokadiriwa: Dola za Marekani bilioni 42

Mradi huu mkubwa wa gesi asilia unahusisha makampuni ya kimataifa ya nishati, ukilenga kufungua hazina kubwa ya gesi iliyoko kwenye kina kirefu cha bahari ya Tanzania.
Ukikamilika, mradi huu unatarajiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa mapato ya taifa, kuunda maelfu ya ajira, na kuiweka Tanzania katika nafasi ya kuwa miongoni mwa wasambazaji wakubwa wa LNG duniani.

2. Mradi wa Tembo Nickel — Thamani: Dola za Marekani milioni 942
Huu ni uwekezaji katika madini muhimu uliopo Ngara, unaolenga uzalishaji wa nikeli—kiungo muhimu katika utengenezaji wa betri za magari ya umeme.
Mradi huu unatarajiwa kuchochea uanzishwaji wa viwanda, kuimarisha minyororo ya kimataifa ya nishati safi, na kuongeza mapato ya mauzo ya nje ya Tanzania.

3. Mradi wa Mahenge Graphite — Thamani: Dola za Marekani milioni 300
Moja ya miradi mikubwa duniani ya graphite yenye ubora wa juu, ulioundwa kuunga mkono ukuaji wa viwanda vya betri na nishati jadidifu.
Mradi huu utaimarisha nafasi ya Tanzania kama mtoa huduma mkuu wa madini yanayotumika kutengeneza betri za kisasa.
 
Kuna vijamaa tuliviekeza Marekani hatoi tamko kama lile eti ata pitia Tena mahusiano yetu kuangalia hatua Gani za kuchukua.

Ukiona Marekani anachelewa kutolea tamko Mgogoro wowote ujue Nyuma ya Mgogoro uo Kuna maslahi.
EU wamekurupuka Mwenzao Marekani ambaye ndie boss wao ana angalia maslahi ya rasilimali.

Wakiona hii taarifa EU wote wanajiona mafala, wamezidiwa maujanja.
Mwishoe watarudi mmojammoja kutubu.
Hivyo ndivyo Dunia ya wajanja inavyokwenda.
Ayo mambo ya ICC sahauni kabisa na atakaye thubutu kufunngua ayo mashtaka ata chezea bakora kutoka kwa uyouyo Marekani
 
ICC imetoa hati dhidi ya Netanyau mtoto kabisa wa Marekani ndo awe huyu Samia?

Kwani maslahi ya Marekani yanalindwa na Samia tu? Samia akiondolewa Marekani ana athirika nini?
 
Balozi alikuwa amepeleka barua ya msimamo wa Marekani kuhusu MO29!
 
ICC imetoa hati dhidi ya Netanyau mtoto kabisa wa Marekani ndo awe huyu Samia?

Kwani maslahi ya Marekani yanalindwa na Samia tu? Samia akiondolewa Marekani ana athirika ni

ICC imetoa hati dhidi ya Netanyau mtoto kabisa wa Marekani ndo awe huyu Samia?

Kwani maslahi ya Marekani yanalindwa na Samia tu? Samia akiondolewa Marekani ana athirika nini?
Ao watuhumiwa wote wa iyo Mahakama uwa wanakamatwa kwa Shinikizo la Marekani, Sasa mpuuzi Gani wa kumkamata Netanyau!!!

Iyo Ulaya Yote inalindwa na Marekani Sasa mpuuzi Gani wa ku mpinga Marekani.

Wapo Maofisa wa ICC walio shikishwa Adabu na Marekani kwa kuenda tofauti na msimamo wa US.
MArekani ndio wakamataji wa watuhumiwa wa ICC.

Kaa kwa kutulia izi gem ni za kikubwa.
NB: Israel haijajiunga na Mahakama iyo ya ICC kwaiyo kumshtaki Netanyau katika Mahakama iyo nakutegemea Kuna hatua zitachukuliwa dhidi yake ni matumizi ya hovyo ya Akili.
 
Ao watuhumiwa wote wa iyo Mahakama uwa wanakamatwa kwa Shinikizo la Marekani, Sasa mpuuzi Gani wa kumkamata Netanyau!!!

Iyo Ulaya Yote inalindwa na Marekani Sasa mpuuzi Gani wa ku mpinga Marekani.

Wapo Maofisa wa ICC walio shikishwa Adabu na Marekani kwa kuenda tofauti na msimamo wa US.
MArekani ndio wakamataji wa watuhumiwa wa ICC.

Kaa kwa kutulia izi gem ni za kikubwa.
Kwa hiyo kwa akili yako Marekani itamkingia kifua muuaji Samia?

Amka wewe acha kuota ndoto za mchana
 
Kuna vijamaa tuliviekeza Marekani hatoi tamko kama lile eti ata pitia Tena mahusiano yetu kuangalia hatua Gani za kuchukua.

Ukiona Marekani anachelewa kutolea tamko Mgogoro wowote ujue Nyuma ya Mgogoro uo Kuna maslahi.
EU wamekurupuka Mwenzao Marekani ambaye ndie boss wao ana angalia maslahi ya rasilimali.

Wakiona hii taarifa EU wote wanajiona mafala, wamezidiwa maujanja.
Mwishoe watarudi mmojammoja kutubu.
Hivyo ndivyo Dunia ya wajanja inavyokwenda.
Ayo mambo ya ICC sahauni kabisa na atakaye thubutu kufunngua ayo mashtaka ata chezea bakora kutoka kwa uyouyo Marekani
Wew jana ni mpumbavu sijawahi ona
 
Kwa hiyo kwa akili yako Marekani itamkingia kifua muuaji Samia?

Amka wewe acha kuota ndoto za mchana
Wewe ndie unaye ota, niswala la muda tu akilizenu za kushikiwa Zita wakaa sawa.
Ivi vitu achana navyo vipo nje ya uelewa wenu.
Izo ni strategy sio mihemko yenu
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu kuendeleza maeneo muhimu ya ushirikiano wa pande mbili na kuthibitisha dhamira ya pamoja ya ushirikiano wa kisasa na wenye manufaa kwa pande zote.

Balozi Lentz, aliyekuwa ameambatana na Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Uchumi, alisisitiza nia ya Washington ya kuweka upya uhusiano huo na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kiusalama kati ya mataifa hayo mawili.

“ Marekani imejidhatiti katika ushirikiano ambao haujajikita kwenye utegemezi wa misaada, bali katika ustawi wa pamoja,” alisema Balozi Lentz.

Mazungumzo hayo yalijikita katika hali ya miradi mikubwa ya kimkakati yenye uhusiano na Marekani, ambayo imekuwa katika hatua za majadiliano.

Pande zote mbili zilikubaliana kuwa mchakato wa majadiliano ya uwekezaji mikubwa—miradi ya LNG na Tembo Nickel—umeingia hatua za mwisho, zikisubiri kutiwa saini rasmi.

Mradi wa tatu ulioguswa ni Mahenge Graphite, ambao bado unaendelea kufanyiwa kazi.

Miradi Mikuu (Flagship Projects)

1. Mradi wa LNG — Thamani inayokadiriwa: Dola za Marekani bilioni 42

Mradi huu mkubwa wa gesi asilia unahusisha makampuni ya kimataifa ya nishati, ukilenga kufungua hazina kubwa ya gesi iliyoko kwenye kina kirefu cha bahari ya Tanzania.
Ukikamilika, mradi huu unatarajiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa mapato ya taifa, kuunda maelfu ya ajira, na kuiweka Tanzania katika nafasi ya kuwa miongoni mwa wasambazaji wakubwa wa LNG duniani.

2. Mradi wa Tembo Nickel — Thamani: Dola za Marekani milioni 942
Huu ni uwekezaji katika madini muhimu uliopo Ngara, unaolenga uzalishaji wa nikeli—kiungo muhimu katika utengenezaji wa betri za magari ya umeme.
Mradi huu unatarajiwa kuchochea uanzishwaji wa viwanda, kuimarisha minyororo ya kimataifa ya nishati safi, na kuongeza mapato ya mauzo ya nje ya Tanzania.

3. Mradi wa Mahenge Graphite — Thamani: Dola za Marekani milioni 300
Moja ya miradi mikubwa duniani ya graphite yenye ubora wa juu, ulioundwa kuunga mkono ukuaji wa viwanda vya betri na nishati jadidifu.
Mradi huu utaimarisha nafasi ya Tanzania kama mtoa huduma mkuu wa madini yanayotumika kutengeneza betri za kisasa.
Fake news LNG Lazima kampuni ya Norway ikubali sio USA!!! Machawa si mlisema Who are you? sasa unawafuata hao hao tena bila demokrasia mtapata shida watoto hawarudi nyuma
 
Kuna vijamaa tuliviekeza Marekani hatoi tamko kama lile eti ata pitia Tena mahusiano yetu kuangalia hatua Gani za kuchukua.

Ukiona Marekani anachelewa kutolea tamko Mgogoro wowote ujue Nyuma ya Mgogoro uo Kuna maslahi.
EU wamekurupuka Mwenzao Marekani ambaye ndie boss wao ana angalia maslahi ya rasilimali.

Wakiona hii taarifa EU wote wanajiona mafala, wamezidiwa maujanja.
Mwishoe watarudi mmojammoja kutubu.
Hivyo ndivyo Dunia ya wajanja inavyokwenda.
Ayo mambo ya ICC sahauni kabisa na atakaye thubutu kufunngua ayo mashtaka ata chezea bakora kutoka kwa uyouyo Marekani
Nimecheka vibaya, sasa mnaanza kula matapishi yenu mmoja mmoja. Naona wase@nge mnajiangusha wenyewe kufudifudi mbele ya mabasha huku suruali ziko chini ya magoti.
 
Kuna vijamaa tuliviekeza Marekani hatoi tamko kama lile eti ata pitia Tena mahusiano yetu kuangalia hatua Gani za kuchukua.

Ukiona Marekani anachelewa kutolea tamko Mgogoro wowote ujue Nyuma ya Mgogoro uo Kuna maslahi.
EU wamekurupuka Mwenzao Marekani ambaye ndie boss wao ana angalia maslahi ya rasilimali.

Wakiona hii taarifa EU wote wanajiona mafala, wamezidiwa maujanja.
Mwishoe watarudi mmojammoja kutubu.
Hivyo ndivyo Dunia ya wajanja inavyokwenda.
Ayo mambo ya ICC sahauni kabisa na atakaye thubutu kufunngua ayo mashtaka ata chezea bakora kutoka kwa uyouyo Marekani
Unadhani ni jambo la kukurupuka hili? Haya bila shaka ni mazungumzo yaliyoanza siku nyingi na USA wapo tayari kufanya kazi na serikali yoyote. Unadhani hii mikataba ndiyo itamsafisha Samia? BTW wananchi wa Tanzania ndiyo watamtoa Samia na siyo nchi za kigeni.
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu kuendeleza maeneo muhimu ya ushirikiano wa pande mbili na kuthibitisha dhamira ya pamoja ya ushirikiano wa kisasa na wenye manufaa kwa pande zote.

Balozi Lentz, aliyekuwa ameambatana na Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Uchumi, alisisitiza nia ya Washington ya kuweka upya uhusiano huo na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kiusalama kati ya mataifa hayo mawili.

“ Marekani imejidhatiti katika ushirikiano ambao haujajikita kwenye utegemezi wa misaada, bali katika ustawi wa pamoja,” alisema Balozi Lentz.

Mazungumzo hayo yalijikita katika hali ya miradi mikubwa ya kimkakati yenye uhusiano na Marekani, ambayo imekuwa katika hatua za majadiliano.

Pande zote mbili zilikubaliana kuwa mchakato wa majadiliano ya uwekezaji mikubwa—miradi ya LNG na Tembo Nickel—umeingia hatua za mwisho, zikisubiri kutiwa saini rasmi.

Mradi wa tatu ulioguswa ni Mahenge Graphite, ambao bado unaendelea kufanyiwa kazi.

Miradi Mikuu (Flagship Projects)

1. Mradi wa LNG — Thamani inayokadiriwa: Dola za Marekani bilioni 42

Mradi huu mkubwa wa gesi asilia unahusisha makampuni ya kimataifa ya nishati, ukilenga kufungua hazina kubwa ya gesi iliyoko kwenye kina kirefu cha bahari ya Tanzania.
Ukikamilika, mradi huu unatarajiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa mapato ya taifa, kuunda maelfu ya ajira, na kuiweka Tanzania katika nafasi ya kuwa miongoni mwa wasambazaji wakubwa wa LNG duniani.

2. Mradi wa Tembo Nickel — Thamani: Dola za Marekani milioni 942
Huu ni uwekezaji katika madini muhimu uliopo Ngara, unaolenga uzalishaji wa nikeli—kiungo muhimu katika utengenezaji wa betri za magari ya umeme.
Mradi huu unatarajiwa kuchochea uanzishwaji wa viwanda, kuimarisha minyororo ya kimataifa ya nishati safi, na kuongeza mapato ya mauzo ya nje ya Tanzania.

3. Mradi wa Mahenge Graphite — Thamani: Dola za Marekani milioni 300
Moja ya miradi mikubwa duniani ya graphite yenye ubora wa juu, ulioundwa kuunga mkono ukuaji wa viwanda vya betri na nishati jadidifu.
Mradi huu utaimarisha nafasi ya Tanzania kama mtoa huduma mkuu wa madini yanayotumika kutengeneza betri za kisasa.
Story ya kutunga. Kasome walichoandika Ubalozi wa Marekani. Wamefanya mazungumzo ya uwazi, ukweli na bila kuoneana haya.

Uwekezaji utaongea na Balozi? Vijana wa ccm hamna maarifa
 
Ujumbe wa Ubalozi ni huu. Acheni propaganda zenu.
 
Attachments

  • IMG_8315.jpeg
    IMG_8315.jpeg
    334.7 KB · Views: 31
Wewe ndie unaye ota, niswala la muda tu akilizenu za kushikiwa Zita wakaa sawa.
Ivi vitu achana navyo vipo nje ya uelewa wenu.
Izo ni strategy sio mihemko yenu
Tutakuwepo. Endeleeni tu kujitoa ufahamu. Mnafikiri duniani watu ni wajinga kama nyie
 
Back
Top Bottom