Tanzania na Marekani wasaini makubaliano ya bilioni 3.1 katika sekta ya Afya

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Nchi yetu imesaini makubaliano muhimu ya sekta ya Afya yenye thamani ya bilioni 3.1.
Hili sio jambo dogo hususani ukiangazia mwenendo wa ufadhili wa USA kwa Tanzania kwenye sekta ya Afya.

Vile vile hili ni pigo kubwa kwa wapinzani wapinga maendeleo ambao hichekelea pale Tanzania inaponyimwa misaada ...lakini pia ni angalizo kubwa sana kwa wataalamu wetu ambao siku zote hupambania misaada hii huku wakihakikisha kuwa inaenda kwa walengwa na inaakisi maendeleo endelevu kwenye sekta ya afya.

Ni ukweli usiopingika kuwa uwekezaji wa U.S.A katika afya ya mtanzania kimwenendo ni uwekezaji wa manufaa.
Hakuna budi kuendelea kuupokea ufadhili huu wenye kuokoa maisha kama ufadhili na msaada muhimu.
Ni muhimu sana kuuchambua ufadhili huu kwa jicho la uwekezaji wa USA kwenye sekta muhimu ya Afya inayokuwa kwa kasi.

Kwa ufupi naamini itafika sehemu na nyakati ya kuwa na makubaliano ya kibiashara baina ya mataifa haya bila shaka...na kamwe kama Taifa hatutakiwa kupuuza fadhila hiyo.

Pamoja na yote lazima pande zote husika katika makubaliano haya na yaliyopita kuendelea kuheshimiana kimkakati katika maswala ya sekta hii muhimu ya afya ...kamwe siasa chafu,siasa shinikizi na umbea wenye uongo usijaribu tena kuingilia eneo hili nyeti la Afya ya mtanzania.

U.S.A Kama mdau nyeti wa maendeleo ya Afya apaswa na ashauriwe vyema kuendelea kuachana na wanasiasa wabaya wasiopenda CCM pindi linapokuja swala nyeti la Afya.

Changamoto za siasa ya nchi hii ambayo kikatiba ni nchi ya kijamaa kamwe zisipelekee hujuma(attriation) kwenye sekta inayopambania uhai na maambukizi.

Zaidi U.S.A kama mshirika muhimu wa maendeleo katika nchi iliyojitanabaisha kikatiba kama ni ya kijamaa itazame sera zake kwa upekee dhidi ya Tanzania na ije na mkakati usioibua hisia zetu kama Taifa ya kwamba tunalazimika kuwa mabepari badala ya wajamaa kwa mujibu wa katiba.

USA Technocrats lazima waelimishwe na kujielimisha pia kuwa tunajitafuta kama Taifa ili kufikia hatua nzuri kwa ustawi wa watanzania wote kwa ujumla(bila kumuacha yoyote).

Ni vyema na inabidi kuwashawishi Taifa hili kubwa kuwa Tanzania inatambua kwa kina hali yake ya umasikini ,maradhi na kukosekana kwa elimu na hivyo kwa umakini mkubwa inataka kujiondoa na kuwaondoa wananchi wake katika lindi na kifungo hiki cha maadui wa laana watatu.

Yatupasa wote kwa umoja wetu iwe ni Tawala au upinzani kuendelea kuwa wakweli "honest" pale tunapopigania kuondoa changamoto hizi za kisekta na za muda mrefu.

Wakubwa wote mithili ya U.S.A ni muhimu kuisaidia Tanzania kwa miktadha wa udau"partnership" na sio kwa muktadha wa mrengo wa magharibi au mashariki au mshindani.

Bado Mama Tanzania hajafikia hatua ya kuwa mshindani wa kisiasa ,kiuchumi au kijamii dhidi ya mataifa makubwa matatu au manne yaani USA,RUSSIA,CHINA au Europe kwa sasa....hata hivyo shinikizo zozote kutoka kwa yoyote kati yenu itaiweka Tanzania katika muktadha huo !!!

Zaidi ....Mimi kama mleta mada ni muumini wa sera muhimu ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kujitegemea na kwa sasa sitaiacha hadi pale ambapo vitisho vyote kutoka kwa wakubwa ninyi vitakapoondoka !

Kwa ufupi niseme nimefurahi kuona USA na Tanzania zinakaa pamoja na kujali eneo muhimu la Afya na ningeoenda kuona uhisiano huu unakuwa endelevu bila mashinikizo.

naandika kwa furaha,hamasa,ushindi wa diplomasia na majaliwa ya utu na uhai.

FROM THE AMERCAN PEOPLE.....
DAR ES SALAAM, Tanzania – The United States Government (USG) and the Government of the United Republic of Tanzania today signed a five-year, $3.1 billion bilateral health cooperation Memorandum of Understanding (MOU), reaffirming shared commitments to preventing the spread of infectious diseases, improving health outcomes, and building a more resilient and sustainable health system in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by the Acting Chargé d’Affaires of the U.S. Embassy Tanzania, Jeanne Clark, and Tanzania’s Minister of Health, Mohammed Mchengerwa.

Through the Trump Administration’s America First Global Health Strategy (AFGHS), this bilateral health MOU secured co-investment from the Government of Tanzania, who has committed to invest more than $1.8 billion in their health systems over the next five years. The United States Government, working with Congress, intends to provide more than $1.3 billion, over the five-year life of the MOU to advance shared global health goals. This joint investment reflects both countries’ commitment to preventing the spread of infectious diseases, and strengthening Tanzania’s capacity to finance, manage, and self-sustain essential health services.

“This MOU represents a new five-year chapter in the longstanding health partnership between the United States and Tanzania,” said the Acting Chargé d’Affaires of the U.S. Embassy Tanzania, Jeanne Clark. “By investing together, we are strengthening Tanzania’s ability to prevent, detect, and respond rapidly to health threats, while building self-sustaining systems that can continue delivering high-quality services for generations. Stronger self-reliance and health security in Tanzania protects Americans and Tanzanians by stopping dangerous outbreaks at their source and before they cross borders and spread internationally.”

The MOU is signed through the AFGHS, which prioritizes saving lives and protecting Americans from health threats before they reach U.S. shores while working with recipient nations to strengthen local capacity to prevent, detect, and respond to infectious diseases and other public health emergencies. By strengthening Tanzania’s ability to address health threats at their source, the partnership will help protect the health and security of both Tanzanians and Americans.

Under the MOU, the United States and Tanzania will deepen cooperation to strengthen health systems, improve digital health infrastructure, expand disease surveillance, and enhance health security. The MOU further supports Tanzania’s efforts to develop and implement a single, unified national digital health ecosystem organized around five defined domains: clinical care; health financing and insurance; supply chains; public health and surveillance; and citizen services.

Minister of Health Mohammed Mchengerwa welcomed the MOU as an important step toward greater national ownership and the long-term sustainability of Tanzania’s health system. “This MOU demonstrates the Government of Tanzania’s commitment to investing in the health and well-being of our people,” Minister Mchengerwa said. “Our co-investment will strengthen health infrastructure, expand the health workforce, improve disease surveillance, and accelerate the development of modern laboratory and digital health systems. We appreciate the continued partnership of the United States as Tanzania builds a stronger, more resilient, and more self-reliant health system.”

Other MOU components include the establishment and operationalization of the Tanzania National Public Health Institute at both national and subnational levels and strengthening the innovative clinical research capabilities of Tanzanian health research institutions and supporting malaria-elimination efforts in Zanzibar.

The MOU also aims to develop and sustain an integrated, interoperable, and optimized laboratory network across multiple levels of the health system capable of meeting the benchmarks of the 7-1-7 outbreak detection and response framework. Under this framework, suspected outbreaks should be detected within seven days, reported to public health authorities within one day, and met with an effective response within seven days.

The five-year MOU builds on decades of U.S.–Tanzania global health cooperation and marks an important step toward greater country ownership, sustainable financing, and long-term health-system resilience. Through this partnership, the United States and Tanzania will work together to protect our communities from the threat of infectious diseases, prepare for future health threats, and help Tanzania achieve greater health system self-reliance and self-sustainability.
 
Utetezi wakwako ama wa jirani yako?
 
..kinachotakiwa ni VIKWAZO kwa waliohusika na mauaji ya OCT29 na kabla ya hapo.

..ambao hawajahusika wasiguswe na vikwazo, na hicho ndicho tunachotarajia toka kwa Mabeberu wa USA, na EU.
 
Back
Top Bottom