Tanzania na mgogoro wa bab el mandeb

Tanzania na mgogoro wa bab el mandeb

Mtumbatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
363
Reaction score
171
Tanzania Ports Authority (TPA) na Zanzibar Ports Authority (ZPA) na hili mkalitazame, tangu mgogogoro wa Bab el Mandeb uanze na meli kuzunguka bara la la Afrika kwenda Ulaya (Mediterranean) na Marekani kupitia bahari za Tanzania (Indian Oceana), jee kuna ongezeko la kiasi gani la meli za kibiashara kutumia bahari ya Tanzania (12 nautical miles) pamoja na minara ya kuongoza meli ya Tanzania (light houses).

Na kwa kiasi gani Tanzania imenufaika kibiashara na mgogoro huo ???

1703407964325.png
 
Hainufaiki kitu. Meli zinapita mbali na fukwe za Tanzania (international water)
 
Back
Top Bottom