Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajiliwaza na takwimu zako kichwani!! ukiona hayo magorofa!! Hyo nchi ambayo inategemea mafuta tu haijiwezi kwa technologia wala viwanda…Hii ndio Doha mkuu
View attachment 2379216
Qatar kwa pato la mtu mmoja mmoja ina Hela kuliko Nchi zote ulizotaja, Kutegemea na kampuni ya utafiti huikosi Qatar kwenye nchi Tajiri duniani na Tafiti nyengine ni nchi Ya kwanza kabisa Duniani.
Pato La mtu mmoja mmoja ni dola 110,000 kwa mwaka na Pato la Nyumba kwa mwezi ni kama dola 25,000.
Sasa ambayo karibia kila Mwezi nyumba inaingiza milioni 50 huoni faida ya kufanya nayo biashara?
Gdp ni pato la Taifa, mataifa yenye population kubwa yana GDP kubwa, mfano India GDP yao ni 2.6 Trilion usd, ni kubwa sana ila Wananchi ni Masikini, hivyo GDP si kipimo kizuri cha Hali ya wananchi.We unajiliwaza na takwimu zako kichwani!! ukiona hayo magorofa!! Hyo nchi ambayo inategemea mafuta tu haijiwezi kwa technologia wala viwanda…
Hizo takwimu nilizokuandikia ckutoa kichwan
angalia nafasi zilizopo Israel,japan,na korea kusini..,,,, yaan kweli ulinganishe japan yenye GDP ya 5.06 Trillion na Qatar yenye 194 Billion (kifupi katari ni tanzania iliyo changamka n mara tatu ya GDP yetu ya 62B)
Yeah....nchi ya Tanzania na Zanzibar... kaazi iendeleeZanzibar inawakilishwa tofauti na uwakilishi wa Tanzania.