Tanzania na Qatar Zasaini Mkataba wa Ushirikiano

Tanzania na Qatar Zasaini Mkataba wa Ushirikiano

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Waziri Mkuu wa Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani wakishuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kisiasa na kidiplomasia baina ya Qatar na Tanzania.

Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara kutoka Tanzania, Judith Kapinga kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Qatar, Dkt. Ahmad Hassein AI Hammadi katika Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar, jijini Doha leo tarehe 28 Septemba, 2026
IMG-20260928-WA0131.jpg
.
 
Back
Top Bottom