Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
hujui kituRwanda kw sasa ni hatari aisay ukubwa wa nchi si reason ya kushinda vita.
Vita ni vita tu Rwanda wako vizuri kwa sasa we nieleze Tanzania kapigana vita ya mwisho lini?
Kupeleka baadhi ya wanajeshi wa kikosi kimoja kupigana na M23 si reason ya kuamini sana JWTZ
We huoni Rwanda alivyo wasaidia Msumbiji, wako vizuri sana