Tanzania na Rwanda kuna nini?

hujui kitu
 
Amewasaidia nini msumbiji
 
Hauna ulijualo wewe kula,jamba ulale.
 
Rwanda ni nchi ya kishetani had saizi washaua watu 12milion
 
Nchi ikishakuwa landlocked haina ujanja kabisa.
 
Kwa kweli
Mmesahau mtu akiogopewa au kupinga mambo anapelekwa kuwa balozi?
Mbona haya tunayaona sana na wala si ajabu
Kaonekana ni hatari labda who knows
 
Hamna kitu cha ajabu mwanajeshi kuteuliwa balozi ni kitu cha kawaida tu.Zambia hapo tuna balozi wetu Major Generali Mkingule unasemaje kwa hiyo.tuna bifu na Zambia? Namibia tulipeleka murugenzi mkuu wa usalama wa Taifa kuwa balozi unasemaje tuna bifu na Namibia

Ni kitu cha kawaida sana hicho
 
Vita ni vita tu Rwanda wako vizuri kwa sasa we nieleze Tanzania kapigana vita ya mwisho lini?
Kwani Rwanda vita gani kubwa waliyowahi kupigana wakashinda zaidi ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Rwanda? Yaani wanashindana wenyewe kwa wenyewe kundi moja linatwanga lingine ndani ya nchi yao
 
Kwa kweli
Mmesahau mtu akiogopewa au kupinga mambo anapelekwa kuwa balozi?
Mbona haya tunayaona sana na wala si ajabu
Kaonekana ni hatari labda who knows
Sio kweli hata sisi viongozi wa juu wa serikali na majeshi yote na dini na taasisi za kiraia nk wakionekana bado wana akili timamu na ni potential na wana uwezo wa kuendelea kushauri hupangiwa balozi ili kuendelea kuchota hekima zao kukiwa na kitu kinahitaji ushauri wa experience zao kuliko kuwaacha tu majumbani huko wakilewa tu pombe na kulala mpaka akili zinaharibika

Hata nchi zilizoendelea hufanya hivyo mfano hata sisi tulishakuwa na balozi mchungaji mstaafu wa Marekani Mchungaji Stith kama balozi wa Marekani Tanzania .Na aliisaidia sana Tanzania kwenye mambo ya soko la AGOA nk la bidhaa zetu

Hivyo vitu viko hadi nchi zilizoendelea

Ni kitu cha kawaida sana mbona kupokea balozi mstaafu toka sekta yeyote nchi yeyote
 
Military AttachƩ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…