Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Tanzania na Saudi Arabia zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati.
Makubaliano hayo yanafungua nafasi zaidi za ushirikiano katika uwekezaji, maendeleo ya miradi ya nishati na kubadilishana uzoefu wa kitaalamu, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kimkakati kati ya mataifa hayo.