Wakuu ninawasikia wote, again swali langu lingine ni kwa nini under Mwinyi, walionyongwa ni wengi kuliko awamu zote, ina maana kipindi hicho ndicho ujambazi au uhalifu ulizidi mno, au ndicho kipindi sheria ilikuwa ikifuatwa kwa msumeno, au ulikuwa ni uzembe wa kutofuata sheria?
Na the fact kwamba under Mkapa, hakunyongwa mhalifu yoyote, I find it to be troubling kama ni kweli kuwa watu huhukumiwa kunyongwa all the time na hawanyongwi, sasa what is the good of our sheria? Na vipi gharama za kuwatunza waliohukumiwa vifo? I mean siungi mkono kifo kwa kifo kwa sababu I do not trust our legal system katika kupitia mchakato mzima wa kumfikisha mwananchi kwenye guilty ya uhalifu wa kuhukumiwa kunyongwa, our legal system is tooo corrupted, I know that,
lakini I must respect kuwa sheria ya kuwanyonga waliohukumiwa ipo tayari na kuna waliohukumiwa tayari, sasa kwa kutokuwanyonga na kuwaweka tu Isanga, exactly taifa lina-accomplish nini as far as the retribution process, ambayo ndio hasa nia na madhumuni ya sheria hiyo kuwepo anyways kwa ajili ya jamii?