Nakubaliana na ufinyu
wangu wa historia, sababu hakuna mtu anaweza akajua kila kitu, lakini
nachelea usije ukawa unarefer kwenye tumashambulizi twa kuvizia viziana
huku kila mmoja akisema hoo nchi yangu inashambuliwa.
Namaanisha vita kwa maana ya kwamba, Rais anatangaza NCHI YETU IKO
VITANI na vita vikaisha baada ya Taifa Moja au Majeshi ya Taifa moja
kushindwa na baada ya hipo zisisikike chokochoko zingine za kivita zaidi
ya propaganda za wanasiasa tu, Kama ilivyokuwa kwa Tanzania na Uganda,
au NATO na SADAMU HUSSEIN.
Sababu hiyo unayorefer kama Vita ya Rwanda na Uganda, Mseven never
declared war, Hivyo vya Libya na Chad pia sio kitu nachorefer mimi
sababu kuna sort of civilian war ilikuwa ikiendelea CHAD na ghadafi kama
kawaida yake alikuwa anaback up upande mmoja, similar to kind of what
happened in what you refer to as Uganda - Rwanda war, these were mere
conflicts, Unless useme kama ni hivyo hata Tanzania Fought Idd Amini not
Uganda sababu Civilian Ugandan never wanted that war. if am correct.
Nadhani unanielewa.