Tanzania na Uganda ni ndugu, vipi kuhusu Kenya?

Tanzania na Uganda ni ndugu, vipi kuhusu Kenya?

Nadhani imekuingia sawa sawa. China, Russia, USA are developed countries. Mimi na wewe bado tunajikongoja. Nyodo hizo zinawafanya wengine waachane na nyie.

Nyie ni majirani zetu hauwezi kuwaamini.
Halafu ukumbuke Russia, USA and China are permanent in UN security council. Au hujui!?

China, Russia and USA they trust each other. But you guys you can't be trusted.
haya basi...mimi nimemaliza...napoteza mda tu
 
hehe..first of all, the geography of East Afroca favors Kenya in serving land-locked nations like UG...secondly, our port is larger, much more efficient than any other port...so I dont see that happening...mtu mwenye akili zake timamu hawezi akaenda mbali kufanya biashara na kuna port moja nzuri iko tu karibu na wao....fimbo ya mbali...malizia....finally, the pipeline did not go to Tz becoz UG hates Kenya...it went to Tz because there were genuine concerns over the kenyan route...for example, alshabaab, cost, and other variables...thats why TOTAL advised UG to take the TZ route but it is not because Uganda hates Kenya...huo ni ujinga...
Ugandans do not hate Kenyans but Kenyans do hate Ugandans.

Hawataki waganda waendelee. Hivi kama mnawapenda kwanini mlichoma magari ya mizigo ya waganda!? Kwanini mling'oa reli ili wasipate mizigo. You can't be trusted. You don't like your fellow africans to move. Uliisikia hotuba ya Museven.
Even political issues Uganda wamefuata namna Tanzania ilivyo.
 
Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?

Naomba mnisaidie.
Jirani
 
Kwani lazima uwe na ndg moja? na wao ni ndg tu
 
Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?

Naomba mnisaidie.
Kenya ni jirani
 
Kwikwikwi. Kubali bana nyie ni jirani zetu.
Tunawashosha mpaka mnyosheke.
Nasikia Wewe ni kidosho. Ningependa kuona sura yako. Nijue ni Kidosho mgani huyu anayependa ubishi namna hii?
 
Hakuna kenye mnatusaidia....with or without tz Kenya would remain EA largest economy

sent from iPhone 7
Kwikwikwikwi. Mambo yanabadilika jirani.
Jana nilikueleza wewe ni die hard boy. Au umesahau.
Kwikwikwi. Uganda ni Ndugu zetu, mkiwachokoza tunawawasha vibao vya pua. Tanzania ni mtetezi wa waganda na issue zenu za u puppet.

Wazungu wamewatumia sasa hivi wanawatema kama jojo. Utamu wenu umeisha.
 
Nasikia Wewe ni kidosho. Ningependa kuona sura yako. Nijue ni Kidosho mgani huyu anayependa ubishi namna hii?
Kidosho ndio kitu gani!? Ondoa lugha za wakikuyu humu.
 
Kenya ni ndugu zetu buana

Hata Uganda ni ndugu zetu japo hawajui kiswahili

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Sasa wewe umeingia JF kutafuta kipusa!? Hii siyo forum kama yenu ya wakikuyu. Hapa tumafanya yetu mambo ya kujuana ni kwenu hukooooo kibera.
 
Kwikwikwikwi. Mambo yanabadilika jirani.
Jana nilikueleza wewe ni die hard boy. Au umesahau.
Kwikwikwi. Uganda ni Ndugu zetu, mkiwachokoza tunawawasha vibao vya pua. Tanzania ni mtetezi wa waganda na issue zenu za u puppet.

Wazungu wamewatumia sasa hivi wanawatema kama jojo. Utamu wenu umeisha.
GDP yenu 48b Kenya 74 b...yani pipe pekee ndio imekuwasha hivo

sent from iPhone 7
 
Sasa wewe umeingia JF kutafuta kipusa!? Hii siyo forum kama yenu ya wakikuyu. Hapa tumafanya yetu mambo ya kujuana ni kwenu hukooooo kibera.
Hahaha u are not my type. Unachukia Kenya tunaelewa hiyo. Kama Kuna tuzo ya wanaochukia Kenya, utapewa nafasi ya Kwanza Kisha Geza ya pili.
 
upload_2017-8-5_14-40-41.jpeg
 
Unakumbuka wati ule mlichoma magari ya Uganda!? Tena unakumbuka kipindi kile mling'oa reli ili Uganda wasipitishe mizigo!?
Unadhani Uganda wamesahau!?
Nyie ni wabinafsi hampendi watu wengine wafaidike. Tutaendelea kuwaita jirani na siyo ndugu zetu. Waganda ndio ndugu zetu. Sasa hivi tunafanya mradi wa pamoja wa umeme.
Maana sisi sote ni ndugu sio nyie wakenya.
We jamaa una mambo ya kitoto sana.. Hayo unayoongea unaongea kama nani na unamuwakilisha nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom