ni kweli kabisa nguvu ya pesa na mipango baada ya ushindi kama wakiingia ni noma...kwa kifupi ufadhili huu si wa mazuri hata kindogo...huyu Wanjigi ameleta mahackers kutoka China...ngoja tuone mpaka Jumatano nane mbabewacha tusubiri tuone ila nina maarifa kuwa huyu jamaa wanjigi ana uhusiano mkubwa sana na Raila odinga na hata yeye ni mfadhili mkubwa wa NASA...jamaa pia ni mkora flani mbaya...
Wakenya mpaka leo wanazuia bidhaa za Tanzania kwenda kenya ila wao wanaleta. Typical themUnakumbuka wati ule mlichoma magari ya Uganda!? Tena unakumbuka kipindi kile mling'oa reli ili Uganda wasipitishe mizigo!?
Unadhani Uganda wamesahau!?
Nyie ni wabinafsi hampendi watu wengine wafaidike. Tutaendelea kuwaita jirani na siyo ndugu zetu. Waganda ndio ndugu zetu. Sasa hivi tunafanya mradi wa pamoja wa umeme.
Maana sisi sote ni ndugu sio nyie wakenya.
Kidosho ni kiswahili wewe,acha ukabila! Haimaanishi si kiswahili kwasababu hujui. Kubali kufunzwa lugha bana. Kidosho ni msichana mrembo. Sasa umejua.Kidosho ndio kitu gani!? Ondoa lugha za wakikuyu humu.
Muulize Leigwanani Lowassa, kahamishia shughuli za siasa za chadema nchini KenyaLeo katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?
Naomba mnisaidie.
Na wewe..Wakenya wenyewe kwa wenyewe sio ndugu....ndio tuje kuwa ndugu zao sisi.
Polisi wamechukua sample
hivi kipindi kile hawa Waganda walijiunga na Kenya na Rwanda na Sudan na kuanzisha Coalition of the willing mbona nao walisema ni ndugu...na ndio maana mpaka sasa Mkenya au Mrwanda au Mganda hutumia kitambulisho baada ya Passpoti pindi wanapotembeleana...Burundi na Tanzania hawakujiunga kwenye huo mpango...kwa kufupi huu undugu ni wa maslahi tu...Africa wote ni ndugu lakini kenya ni jirani.