Tanzania na uhuru wa Palestine inatusaidia nini !

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Heshima sana wanajamvi,

Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.

Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.

Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.

Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.

Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.

Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.

Ngongo kwasasa Ndutu.
 
Gentleman,
Tazania imechangia pakubwa katika kupambania uhuru wa mataifa mengi sana ya Africa, ambayo mengi leo hii ni huru. Kuna ubaya gani ikiwa Tanzania ikatanua wigo na ikajitolea kupigania uhuru wa kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa mataifa mengine ulimwenguni ikiwa ni pamoja na Palestina? :1Head:
 
Ngoja warushe zile missile. Ndio utajua kuna ubaya gani
 
Mm nimejikita kwenye usalama wa nchi.

Badala ya kuwekeza ya masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati. Tunajifanya watatuzi wa migogoro. Watakapokuja ndio tutajua elimu ni muhimu kuliko maneno maneno
Kwahiyo ukiitetea Palestina au taifa lolote lile duniani nchi yako inakuasio salama right? :pedroP:

utainjoy vipi matunda ya uwekezaji wako katika elimu, wakati binadamu wenzako hawana amani wala uhuru wa kisiasa, kijamii na kiuchumi? Umesoma nini sasa ikiwa huwezi kutumia hata elimu kidogo uliyonayo kutatua changamoto za wengine?:1Head:
 
Heshima sana wanajamvi,

Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.

Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.

Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.

Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.

Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.

Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.

Ngongo kwasasa Ndutu.
Mbona nyinyi mnataka Marekani na Ulaya waiwekee vikwazo Tz.itawasaidia nini wazungu?
 
Kwahiyo ukiitetea Palestina au taifa lolote lile duniani nchi yako inakuasio salama right? :pedroP:

utainjoy vipi matunda ya uwekezaji wako katika elimu, wakati binadamu wenzako hawana amani wala uhuru wa kisiasa, kijamii na kiuchumi? Umesoma nini sasa ikiwa huwezi kutumia hata elimu kidogo uliyonayo kutatua changamoto za wengine?:1Head:
Wengine wa nini, wao wanakusaidia nini..wewe mwenyewe mambo yako hayako sawa, sasa ya wengine ya nini..!
 
Natamani niwaonee huruma, lakini nikikumbuka kwamba biashara ya utumwa ilipigwa marufuku miaka mingi iliyopita, huku baadhi ya nchi za Kiarabu zikiendelea na utumwa hadi miaka ya 80, inakuwa ngumu sana.
 
Heshima sana wanajamvi,

Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.

Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.

Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.

Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.

Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.

Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.

Ngongo kwasasa Ndutu.
Umeandika kitu ambacho kimekuzidi umri na ufahamu

Enzi za Nyerere Tanzania ilikuwa na shida na mafuta na pia haikuwa na pesa za kuagiza hayo mafuta wakaenda Irani kukopa na hilo deni Hadi Leo hii bado halijalipwa

Mwinyi alipoingia madarakani kulikuwa hakuna mafuta kiasi kwamba wananchi wanapanga foleni madukani kuanzia asubuhi Hadi jioni Ili wapate mafuta ya Taa
Mwinyi akaenda Quiet akapewa mafuta muulize mtu yoyote katika serikali zote serikali ya mwinyi ndio kulikuwa hakuna shida na mafuta tena Kwa Bei rahisi

Lakini pia Kuna haki za binadamu ambayo Palestine wananinywa na kubaniwa uhuru wao
Mtu yoyote mwenye akili timamu awezi kukaa kimya wakati Kuna watu wananyanyaswa labda awe poyoyo kama wewe
 
Ni punguani ndie anatumia uamuz binafsi kujali wengine hawana viatu wakati yeye mwenyewe anatembea matako wazi..
kua na kitu au kutokua nacho ni uamuzi wako binafsiu gentleman, huna haja mihemko na maamuzi ya wengine kusaidia walio tayari kwa uwezo wao wote :1Head:
 
Heshima sana wanajamvi,

Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.

Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.

Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.

Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.

Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.

Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.

Ngongo kwasasa Ndutu.
Wakiristo wa jf mnatabu sana.
 
kua na kitu au kutokua nacho ni uamuzi wako binafsiu gentleman, huna haja mihemko na maamuzi ya wengine kusaidia walio tayari kwa uwezo wao wote :1Head:
..sio kila kitu ni uamuz binafsi, vingine ni upumbavu wako mwenyewe!
 
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kapewa maelekezo na Boss wake akaseme hivyo huyo kijana ni km alivyo shamba boy au mlinzi wa getini kwa hio kawasilisha ujumbe km alivyopewa na Boss sio yeye aliesema technically
 
Back
Top Bottom