Gentleman,Heshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.
Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.
Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.
Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.
Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.
Ngongo kwasasa Ndutu.
Ngoja warushe zile missile. Ndio utajua kuna ubaya ganiGentleman,
Tazania imechangia pakubwa katika kupambania uhuru wa mataifa mengi sana ya Africa, ambayo mengi leo hii ni huru. Kuna ubaya gani ikiwa Tanzania ikatanua wigo na ikajitolea kupigania uhuru wa kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa mataifa mengine ulimwenguni ikiwa ni pamoja na Palestina?
dhana potofu ni umaskini mbaya sana gentleman wa kifikraNgoja warushe zile missile. Ndio utajua kuna ubaya gani
Mm nimejikita kwenye usalama wa nchi.dhana potofu ni umaskini mbaya sana gentleman wa kifikra
Kwahiyo ukiitetea Palestina au taifa lolote lile duniani nchi yako inakuasio salama right?Mm nimejikita kwenye usalama wa nchi.
Badala ya kuwekeza ya masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati. Tunajifanya watatuzi wa migogoro. Watakapokuja ndio tutajua elimu ni muhimu kuliko maneno maneno
..yeye ndie ametusababishia hadi kuwa na sijui makamu wa rais wa aina hii, taifa lenye umri wa miaka 65 toka kuanzishwa unatuma mtu mwepesi km huyu kuwakilisha nchi..? AseeTunatumia kodi zetu vibaya kugharamia safari ambazo hazina maana.
TUtamkumbuka Jiwe.
Mbona nyinyi mnataka Marekani na Ulaya waiwekee vikwazo Tz.itawasaidia nini wazungu?Heshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.
Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.
Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.
Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.
Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.
Ngongo kwasasa Ndutu.
Wengine wa nini, wao wanakusaidia nini..wewe mwenyewe mambo yako hayako sawa, sasa ya wengine ya nini..!Kwahiyo ukiitetea Palestina au taifa lolote lile duniani nchi yako inakuasio salama right?
utainjoy vipi matunda ya uwekezaji wako katika elimu, wakati binadamu wenzako hawana amani wala uhuru wa kisiasa, kijamii na kiuchumi? Umesoma nini sasa ikiwa huwezi kutumia hata elimu kidogo uliyonayo kutatua changamoto za wengine?
mambo yako kua sawa au vinginevyo Tanzania ni uamuzi wako binafsi tu gentlemanWengine wa nini, wao wanakusaidia nini..wewe mwenyewe mambo yako hayako sawa, sasa ya wengine ya nini..!
..hiyo mikopo wanayotoa hatutaki itumike vibaya na watu hawakuchaguliwa kihalali!Mbona nyinyi mnataka Marekani na Ulaya waiwekee vikwazo Tz.itawasaidia nini wazungu?
Ni punguani ndie anatumia uamuz binafsi kujali wengine hawana viatu wakati yeye mwenyewe anatembea matako wazi..mambo yako kua sawa au vinginevyo Tanzania ni uamuzi wako binafsi tu gentleman
Umeandika kitu ambacho kimekuzidi umri na ufahamuHeshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.
Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.
Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.
Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.
Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.
Ngongo kwasasa Ndutu.
kua na kitu au kutokua nacho ni uamuzi wako binafsiu gentleman, huna haja mihemko na maamuzi ya wengine kusaidia walio tayari kwa uwezo wao woteNi punguani ndie anatumia uamuz binafsi kujali wengine hawana viatu wakati yeye mwenyewe anatembea matako wazi..
Wakiristo wa jf mnatabu sana.Heshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.
Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.
Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.
Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.
Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.
Ngongo kwasasa Ndutu.
..sio kila kitu ni uamuz binafsi, vingine ni upumbavu wako mwenyewe!kua na kitu au kutokua nacho ni uamuzi wako binafsiu gentleman, huna haja mihemko na maamuzi ya wengine kusaidia walio tayari kwa uwezo wao wote
Kapewa maelekezo na Boss wake akaseme hivyo huyo kijana ni km alivyo shamba boy au mlinzi wa getini kwa hio kawasilisha ujumbe km alivyopewa na Boss sio yeye aliesema technicallyHivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.