Tanzania na uhuru wa Palestine inatusaidia nini !

..imani ya kijinga kbs kuongelea ugomvi na mabishano ya watu yasiyokuhusu.
 
Hivi huku wakati watu wanapigwa risasi za kichwa October 29 kuendelea kuna Mpalestina yoyote ulimsikia akipaaza sauti kwamba mnawaua hao wananchi wenu mnakosea waache msiwaue?
Yani upazie sauti mtu ambaye anazuoa haki za wananchi wenzake kuchagua viongozi wanaowapenda?

Upazie sauti mtu ambaye anachoma moto na kuiba biashara za wananchi wenzake?

Upazie sauti mtu ambaye anachoma moto miundombinu ya serikali Ili wananchi wenzake wapate shida ya kusafiri wa kwenda kujitafutia riziki?

Nyinyi mlitumiwa na watu kama misukule Ili kukamilisha mipango ya maslahi Yao

Kwahiyo kama mgeachwa muendelee tokea Oct 29 Hadi Leo mngekuwa mmeshachoma na kuiba biashara za wananchi wangapi?

Na Kwa Dar vingekuwa vimebakia vituo vingapi vya mwendokasi na mabasi mangapi?

Labda hiyo serikali iwe inaongozwa na mapoyoyo kama wewe
 
Jaziba za nini wale walioingiza magari mpaka wa Israel na kuanza kupiga watu risasi na mabisu na zile clip za watu kuuliwa kinyama, wanawake kubakwa na kufirwa na kulawitiwa na Wapalestina tulikua tunaziona humu na kwingineko kwenye social media mbalimbali walikua Wapalestina au watu gani? Kwa hio mmechukua ile copy mkapaste huku sio?
 
Kiongozi hii minyumbu ni ya kuipotezea sometimes, imejawa na chuki za Kila namna Hadi za dini ndo maana wapo hivyo......chuki kwa Samia na dini yake vimewajaa kiasi kwamba inazibwa macho ya kutoona Dunia inaendaje. Nyerere na wazee wenzake hawakuwa wajinga kupambania pia suala hilo sababu wanajua athari zake chanya kwa nchi.

Nchi kibao za ulaya kama Spain, Italy n.k Zina msimamo wa kutambua Palestine, halafu linakuja linyumbu limoja linanuka mavi ya kababu za mia mia, jasho na kikwapa Cha kubanana mahakamani kumuona na kumshangilia mahabusu "anayenenepeana" kwa ufyonzaji wa tOne tOne, linakuja kutema pumba hapa. Nyambaaaf
 
Ni kujipendekeza kwa mataifa ya kiarabu, huo mzozo nchi kama tanzania haipaswi hata kuuzungumzia hata kama ina ubalozi wake hapa. Siasa za madola makubwa ndio zina ubavu wa kuzungumzia hali ya mambo huko palestina na israel
 
nimekuelewa sana gentleman,
nimewapuuza sana hawa majamaa na chuki zao useless 🤝
 
Akati hapa Tanzania wapinzani wanaonewa kila siku, wengine wanauawa, na haujali. Iweje sasa ujali mambo ya Gaza huko mbali hivyo. Na huku nyumbani kwako kuna dhuluma kibao.

Una uhakika hao waarabu wa Gaza wanakujali wewe?
 
Mbona nyinyi mnataka Marekani na Ulaya waiwekee vikwazo Tz.itawasaidia nini wazungu?
Ina maana sasa hivi Tanzania mabishano ya kisiasa yamechukua sura ya kidini au inakuaje.

Malaria 2 naelewa wewe ni muislamu mcha Mungu na post zako nyingi nilivokuwa napita humu JF ni nzuri.

Nieleze nini maoni yako kuhusu hali ya kidemokrasia ya nchi hii
 
Mkuu Tlaa; Hivi si unakijua chanzo cha madhila yanayoendelea huko? Umewezaje kusahau hata waTz wenzio waliokuwa masomoni huko kwa Wayahudi kisha wakatekwa na kuangamizwa huko tar. 07 Oct. 2023 bila kosa lolote?
Ni sahihi kwako kuwa mzalendo kwa nchi yako, lakini kuunga mkono Matendo ya kigaidi (Uvamizi wa HAMAS huko Israel) sidhani kama ni sahihi. Kuitambua Palestina almaarufu kama Gaza ni sawa na kusema kile Wapalestina i.e. Raia wa Gaza walichofanya kilikuwa ni Halali na hiki wanachofanyiwa ni Haram. Ni Kweli???
 

..kabla hatujadai haki za Wapalestina, tudao haki za Watanzania waliouwawa OCT 29 2025.

..Ndejembi hana uhalali wa kudai haki za Wapalestina wakati serikali ya Ccm inateka, kutesa,na kuuwa, raia wake yenyewe.
 
Punguza Shobo
Hawa ni Misri wame weka liukuta lirefu kuwazuia hao ndg zao wasiingie kwao ila ww mmakua sasa Shobo dundo.
 

Attachments

  • IMG_20260924_173917.jpg
    101.6 KB · Views: 3
Tunatafuta kick kimataifa, natamani Netanyau amjibu kwa kulinganisha na hali ya Tanzania ya sasa ambayo watu wanatekwa kwa kutoa uhuru wa maoni. Awaulize walipo kina Mdude, Soka, Polepole na wengineo.
 
Wakati wa Nyerere hakujawahi kuwa na shida ya mafuta, unaijua Tipper, unajua kazi yake nini?
Kulikuwa na makampuni kama Bp mafuta yameanza kuwa shida baada ya ufisadi wa viongozi wenu.
 
Punguza Shobo
Hawa ni Misri wame weka liukuta lirefu kuwazuia hao ndg zao wasiingie kwao ila ww mmakua sasa Shobo dundo.
kwani Tanzania ni Misri gentleman? au una mihemko tu ya jioni?🤣
 
Hivi huku wakati watu wanapigwa risasi za kichwa October 29 kuendelea kuna Mpalestina yoyote ulimsikia akipaaza sauti kwamba mnawaua hao wananchi wenu mnakosea waache msiwaue?
Bora umeliona hilo.
Ni upimbi wa kiwango cha juu sana kuhangaika na Palestine na kuacha kuwakumbuka waanga wa 29 October 2025.
 
Tanzania itaendelea kuungana na jumuiya ya kimataifa kuyasambaratisha na kuyaangamiza magaidi kote ulimwenguni bila huruma, haya wala aibu.

In fact,
Tanzania itaendelea kua kinara wa kuhamasisha upatikanaji wa amani ya kudumu pande zote zenye migogoro kwa njia ya mazunguzo mezani

na hakuna wa kubadili msimamo huu madhubuti sana wa Tanzania bila kujali mihemko au makasiriko ya wachache wasiopenda Amani 🐒🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…