Sawa . Je, kwa hapo hebu tuambie Tanzania inaungana na jumuiya zipi za kimataifa kuyasambaratisha Magaidi?Tanzania itaendelea kuungana na jumuiya ya kimataifa kuyasambaratisha na kuyaangamiza magaidi kote ulimwenguni bila huruma, haya wala aibu.
Huu ni mtizamo wako au ndo msimamo wa TzIn fact,
Tanzania itaendelea kua kinara wa kuhamasisha upatikanaji wa amani ya kudumu pande zote zenye migogoro kwa njia ya mazunguzo mezani
OK.na hakuna wa kubadili msimamo huu madhubuti sana wa Tanzania bila kujali mihemko au makasiriko ya wachache wasiopenda Amani 🐒🐒
Gentleman,Sawa . Je, kwa hapo hebu tuambie Tanzania inaungana na jumuiya zipi za kimataifa kuyasambaratisha Magaidi?
Huu ni mtizamo wako au ndo msimamo wa Tz
OK.
Asante -Ushauri wako umezingatiwa. Ubarikiwe sana mkuu.Gentleman,
hakuna swali wala mtazamo kwenye suala la kuyasambaratisha magenge ya kigaidi Tanzania na ulimwenguni kote.
Tafadhali,
epuka kuungana na magenge yote ya kihalifu kote nchini, otherwise utapata tabu sana gentleman politically speaking 🐒
Wakati wa Nyerere hakukuwa na shida ya mafuta?Wakati wa Nyerere hakujawahi kuwa na shida ya mafuta, unaijua Tipper, unajua kazi yake nini?
Kulikuwa na makampuni kama Bp mafuta yameanza kuwa shida baada ya ufisadi wa viongozi wenu.
Tatizo wana ingiza nchi kwenye itikadi zao za kidini ******* hawaHivi huku wakati watu wanapigwa risasi za kichwa October 29 kuendelea kuna Mpalestina yoyote ulimsikia akipaaza sauti kwamba mnawaua hao wananchi wenu mnakosea waache msiwaue?
Mnapenda kupeleka harakati katika mataifa ya wenzenu yakiletwa kwenu mnaona watu wabaya.Gentleman,
Tazania imechangia pakubwa katika kupambania uhuru wa mataifa mengi sana ya Africa, ambayo mengi leo hii ni huru. Kuna ubaya gani ikiwa Tanzania ikatanua wigo na ikajitolea kupigania uhuru wa kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa mataifa mengine ulimwenguni ikiwa ni pamoja na Palestina?
Sometimes kama huna logic vunga tu sio lazima ujibu!!Gentleman,
Tazania imechangia pakubwa katika kupambania uhuru wa mataifa mengi sana ya Africa, ambayo mengi leo hii ni huru. Kuna ubaya gani ikiwa Tanzania ikatanua wigo na ikajitolea kupigania uhuru wa kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa mataifa mengine ulimwenguni ikiwa ni pamoja na Palestina?
Yani mtu anapanda ndege tunashida kibao ndani ya nchi anaenda kuongea habari za pakistan? Hv sisi wayz sijui ni nuksi gani hii ya vionhozi wetu... ni heri angeenda Baba levo angeongea kuhusu nchi yake nimesikitika sana sana.Heshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.
Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.
Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.
Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.
Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.
Ngongo kwasasa Ndutu.
Utashangaa kuna mijitu mijinga bado wanafikiri waarabu ni binadamu special sana kuliko mwafrika.Hivi huku wakati watu wanapigwa risasi za kichwa October 29 kuendelea kuna Mpalestina yoyote ulimsikia akipaaza sauti kwamba mnawaua hao wananchi wenu mnakosea waache msiwaue?
Kiongozi hii minyumbu ni ya kuipotezea sometimes, imejawa na chuki za Kila namna Hadi za dini ndo maana wapo hivyo......chuki kwa Samia na dini yake vimewajaa kiasi kwamba inazibwa macho ya kutoona Dunia inaendaje. Nyerere na wazee wenzake hawakuwa wajinga kupambania pia suala hilo sababu wanajua athari zake chanya kwa nchi.
Nchi kibao za ulaya kama Spain, Italy n.k Zina msimamo wa kutambua Palestine, halafu linakuja linyumbu limoja linanuka mavi ya kababu za mia mia, jasho na kikwapa Cha kubanana mahakamani kumuona na kumshangilia mahabusu "anayenenepeana" kwa ufyonzaji wa tOne tOne, linakuja kutema pumba hapa. Nyambaaaf
Mkuu nadhani unaipuuza dhana ya Glocally (Global and Locally) ambayo aliisema Mama wa wa Misri, Nawal El Saadaw.Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.
Ukishindwa kusimamia haki hata msingi na ihalali wa kudai hiyo katiba mpya unakosa.Heshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.
Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.
Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.
Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.
Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.
Ngongo kwasasa Ndutu.
Tunatumia kodi zetu vibaya kugharamia safari ambazo hazina maana.
TUtamkumbuka Jiwe.
Si afadhali ya huyo kaongea tu?Heshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu.
Tanganyika ijikite katika kupambana kupunguza umaskini,ujinga (Piga vita machawa),Maradhi na kulinda ardhi yetu kwa gharama yoyote.
Haya mambo ya kujiingiza katika siasa za kimataifa wakati hata uhuru wa kuchagua viongozi wetu hakuna ni ujinga wa kiwango cha SGR.
Tulijishughulisha na masuala ya ukombozi kusini mwa Afrika letu Watanganyika wanatimuliwa huko South Afrika !.
Ndejembi na team yake wajishughulishe na upatikanaji wa Katiba mpya ambayo itawalinda zaidi wananchi wa kawaida.
Ngongo kwasasa Ndutu.
Ningekuwa nimezaliwa kijijini hata hayo mambo ya tipper ningesimuliwa, hakujawahi kutokea uhaba wa mafuta ila kulikuwa na udhibiti mkubwa sababu kwanza Tanzania walikuwa wanaagiza mafuta ghafi ambayo yakifika tipper yanafanyiwa refinery.Wakati wa Nyerere hakukuwa na shida ya mafuta?
Wewe ni mawili kati ya haya
Ulikuwa haujazaliwa kipindi Cha Nyerere
Au
Ulizaliwa kijijini na kukulia kijijini Yani wewe sio mtoto wa Dar
Mimezaliwa ocean road nimekulia TemekeNingekuwa nimezaliwa kijijini hata hayo mambo ya tipper ningesimuliwa, hakujawahi kutokea uhaba wa mafuta ila kulikuwa na udhibiti mkubwa sababu kwanza Tanzania walikuwa wanaagiza mafuta ghafi ambayo yakifika tipper yanafanyiwa refinery.
Shukuru tunatumia majina bandia ila tungekuwa tunaweka wazi tungejua nani katokea kijijini na nani alikuja mjini baada ya dada yaje kuolewa.
Nimezaliwa ocean road primary nimesoma kibasila na chan'ombe utanieleza niniMimezaliwa ocean road nimekulia Temeke
100% wewe umezaliwa kijijini hajui chochote kilichokuwa kinaendelea mjini kipindi Cha Nyerere
Chupa za mafuta ya Taa zilikuwa zinapangwa foleni kutwa mzima katika maduka ya wajumbe wa nyumba kumi na maduka ya ushirika
Shida ya mafuta aliimaliza Mwinyi alipoingia madarakani Baada ya kuenda Quiet kuomba mafuta
Waulize rafiki zako watoto wa mjini watakuambia
Ndio maana mnaambiwa mjini shule