Akey
New Member
- Aug 30, 2022
- 1
- 0
Tanzania ni nchi ambayo imekua na mahusiano mengi na nchi mbalimbali tangu miaka ya mwanzo. Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere aliipa kipaumbele urafiki baina ya nchi yetu na mataifa ya nje.Aidha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza tamaduni hii ambapo mpaka leo tuna urafiki na nchi kama China, Ubeljini, Ufaransa Marekani ,Uiengereza,Uganda n.k. Hivyo imewezesha nchi hizi kushirikiana katika mambo mengi kibiashara, kisiasa, kielimu, kimichezo, kiutamaduni na katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii.Leo hii katika dunia ambayo tunaishi kuna vita za kimataifa hatuna budi kushikamana pamoja.
Nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopokea msaada kwa kiwango kikubwa kutoka kwa mataifa haya,kwa mfano Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ilisaini mkataba wa kuipatia Serikali ya Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Majisafi na Usafi wa Mazingira katika Mkoa wa Shinyanga .Pia,miongoni mwa miradi mikubwa ambayo nchi ya China imefanikiwa kuwekeza ni pamoja na ujenzi wa reli TAZARA inayojulikana kama reli ya Uhuru,Mnamo mwaka 1970 inayounganisha nchi ya Tanzania na Zambia,Urafiki textile miles(kiwira) na Kiwanda cha miwa mahonda.
Kwa upande mwingine ,Nyanja ya elimu urafiki huu tumeshuhudia ushirikiano.baina ya mataifa mengine na Tanzania,ambapo wanafunzi wakipewa udhamini wa kimasomo ili kujiendeleza kimasomo,kwa mfano fursa hizi zimetolewa katika fani mbalimbali mafuta,uhandisi,usafirishaji,afya n.kKwa mujibu wa gazeti la Mwananchi (2018), “watanzania 133 wapata udhamini wa kusoma China”.Pia Chuo kikuu cha Dodoma kina uanzalishi wa falfasa ya Confucius ya nchini China,Kwa upande mwingine lugha yetu ya kiswahili inafundshwa nchinj china na sisi pia tunajifunza yao.Aidha,Upande wa elimu nchi China imesaidia ujenzi wa maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar-Es-Salaam.
Kiuchumi, Nchi za kimataifa bado zina mchango mkubwa katika kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania.,Kwa mfano Poland inasafirisha kuenda Tanzania, vitu kama mashine na vifaa, chakula, bidhaa za shaba, makaratasi, nguo, mataili, na vifaa vya nyumbani. Sisi tunaingiza bidhaa za kahawa, chai, kokoa, tumbaku, pamba na mbegu za mafuta .Pia nchi hzi zinasaidia Ujenzi ya miradi mbalimbali mfano China ujenzi wa Uwanja wa taifa,Aidha taasis mbalimbali mfano marekani kupitia kwa taasis yake ya USAID imekua katika mstari wa mbele kuinua uchumi wa Watanzania kwa kuwapa ajira,fursa,mafunzo n.k,hizi ni baadhi ya nchi tu zilizotajwa ili kufahamu jinsi uchumi wa Tanzania unavokuwa kupitia kwa misaada na Utalii.Pia kwa upande wa Afrika mashariki,Kwa kuwa Burundi ni nchi isiyo na bandari, karibu 80% ya bidhaa zake hupitishwa kwa barabara kutoka Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa sekta ya Afya,
Kwanza kabisa,taasisi ya moyo inayojulikana kama (JKCI) Jakaya Kikwete ambapo imekuwa ikipokea madaktari mbalimbali wakija toka mataifa toka mataifa mbalimbali mfano chinkushirikianawashirikiane na madkatari wa Tanzania wakibadilishana maono .Pia nchi Marekani kupitia taasisi yao ya USAID imeendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania ni pamoja na kufadhili miradi ya kupambambana na VVU / UKIMWI, malaria, kifua kikuu, uzazi wa mpango, afya ya uzazi, lishe, Usalama wa afya duniani n.k,pia usafirishaji wa vifaa(vyenye tecknologia ya hali ya juu, uhaba wa wafanyakazi wa sekta ya afya, na rasilimali duni za kifedha zinazuia malengo ya maendeleo ya Tanzania. Ili kuboresha utoaji wa huduma na kuunga mkono lengo la Tanzania la huduma za afya kwa watu wote.Pia umoja wa mataifa (UN) imekuwa katika mstari wa mbele kupigania haki za binadamu kiafya kudhobiti matatizo kama ukeketaji wasichana.
Kwa upande wa kilimo
Nchi Tanzania inaipa kipaupembele kilimo kupitia Chuo Kikuu Cha Kilimo (SUA) Balozi Dkt. Wright amesema kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita Serikali yao kupitia shirika la Marekani la maendeleo ya kimataifa USAID lilitumia dola milioni 200 katika mradi wa feed the future ambao umewanufaisha wakulima zaidi ya 700,000, kukuza sekta ya kilimo na wazalishaji wengine wa chakula.Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti na Kupunguza Umaskini Tanzania (REPOA), Dkt. Donald Mmari alisema Serikali ya Marekani imekuwa na uhusiano mkubwa na Chuo Kikuu cha SUA tangu 1962 kilipokuwa Kitivo na cha KChuo Kikuu Dar -es- Salaam kupitia shirika la maendeleo USAID kiliwezesha kiasi cha fedha katika uwanzishwaji wake.Pia shirika la FAO imekuwa mstari wa mbele kuinua wakulima wadogowadogo nchini Tanzania.Pia Chuo cha wakulima Mkindo mkoani Morogoro nchini Tanzania kilianzishwa mwaka 1996 kupitia ushirikiano wa Tanzania ,FAO na Indonesia chini ya mpango wa ushirikiano wa nchi za kusini.
Kwa upande wa Sayansi na Teknologia,Urafiki huu umeweza kuinua vifaa vya kilimo ukilenga kubadilisha sekta ya kilimo kutoka katika matumizi duni ya Teknolojia na uzalishaji.Pia kufanya kilimo kiwe cha kisasa na hasa kuwaingiza vijana katika uzalishaji wa sekta kilimo nchini.Pia Ushirikiano na Bara la Ulaya katika kupambana na uharibifu wa tabaka la Ozoni, Tanzania na nchi burundi amekua katika majadiliano ya jinsi watakavyoshirikiana kukuza TEHAMA. Ukuzaji ushirikiano katika sekta ya Mawasiliano baina ya Tanzania na Burundi utamaanisha kuongeza mapato na kukuza uchumi.
Kwa sekta ya Utawala ,Raisi wetu Mh.Samia Suluhu amekuwa katika ziara nchi za ufaransa na ubeljini kuboresha mahusiano na nchi za kimataifa, Siku 10 za ziara hiyo zimefungua milango ya mahusiano ya kidiplomasia, kiuchumi na kijami . Mheshimiwa Rais ameonyesha nia na njia kuwa Serikali anayoiongoza ipo tayari kuwapokea, kuwasikiliza na kushirikiana na mataifa mengine katika kuimarisha shughuli za uwekezaji na biashara nchini hatima yake ni Utawa bora.
Mahusiano mazuri kati ya Tanzania na nchi za Kimatifa yanatoa fursa kwa nchi zote . Ni jukumu la kila mmoja kutambua fursa ipo wapi na kuitumia. Hii ni kwa sababu pamoja na fursa kuwepo lakini usipoitumia itakuwa ni sawa na bure,yaani itakuwa imepotea. Binafsi naishukuru serikali za kimataifa kwa mengi waliyofanya nchini kwetu kutuinua kiuchumi. Tanzania tunapaswa kujifunza kutoka kwa mataifa haya kwani tayari yameshapiga hatua tunapotekeleza kaulimbiu yetu “Tanzania ya Viwanda”.

Upvote
0