Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

Pia niliwahi kuona mtani wa KIMAKONDE anapigwa ngumi ya chembe na kidevu baada ya kuzuia jeneza la marehemu MNGONI kwa kulala mbele ya gari ya kubebea maiti eti mpaka apewe hela.
Mbona unapanic? hupendi maendeleo anayoleta Rais Magufuli?
 
Tundu Lissu hafai kuwa Rais.
 
Usimfananishe Rais Magufuli na watu wa hovyo hovyo.
 
Magufuli wewe ndiye tunayekutegemea.
 
Hivi wakurya nao waga ni binadamu?[emoji23] halafu, hivi infact waga kuna mjaluo mweupe??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
 
Asante Rais Magufuli kwa bwawa la umeme la Nyerere.
 
Tunamsubiri Malikia wa Uingereza naye amuangukie Rais Magufuli na Watanzania.
 
Pia niliwahi kuona mtani wa KIMAKONDE anapigwa ngumi ya chembe na kidevu baada ya kuzuia jeneza la marehemu MNGONI kwa kulala mbele ya gari ya kubebea maiti eti mpaka apewe hela.
Rais Magufuli hapendi vya dezo kama Wapinzani Tunataka Uchaguzi ili tuwanyooshe walimbukeni wa siasa kama CHADEMA.
 
Mkuu nakushauri tu uungane na Magufuli lasivyo October mtapokea kipigo cha mbwa mwizi.
 
Loh! Yaani ulimtafuna kwa utani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…