The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com
ni zaid ya anguko katika soka la nchi yetu na michezo kiujumla...
si uchumi tu tunaporomoka had soka..
HAO VIONGOZI WA TFF HATA WANGETEMBEZWA UCHI KUTOKA MSIMBAZI MPAKA JANGWANI HAWAWEZI KUACHIA NGAZI. WIZI TU UMEWAJAA. KIONGOZI HALISI TAIFA STARS HATUWEZI KUPIGWA 3-0 NA ZIMBABWE HALAFU WAKAENDELEA KUWA OFISINI. MKWASA ATUPWE HUKOOOO AMEDHIHIRISHA HANA UWEZO WA KUFUNDISHA TIMU YA TAIFA.Wacha tushuke, tena mimi naona kuna nafasi za watu tumekalia inatakiwa tuwe wa 204 nyuma ya Djibouti.
TFF bomu la kienyeji T star bomu la magadi.
Ulafi wa madaraka ni moja ya vtu vinavyorudisha nyuma maendeleo ya waafrika walio wengi.HAO VIONGOZI WA TFF HATA WANGETEMBEZWA UCHI KUTOKA MSIMBAZI MPAKA JANGWANI HAWAWEZI KUACHIA NGAZI. WIZI TU UMEWAJAA. KIONGOZI HALISI TAIFA STARS HATUWEZI KUPIGWA 3-0 NA ZIMBABWE HALAFU WAKAENDELEA KUWA OFISINI. MKWASA ATUPWE HUKOOOO AMEDHIHIRISHA HANA UWEZO WA KUFUNDISHA TIMU YA TAIFA.
The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com
ni zaid ya anguko katika soka la nchi yetu na michezo kiujumla...
si uchumi tu tunaporomoka had soka..
Watuweke wa mwisho tu maana kila mahali siasa tu,hii nafasi wametupendelea banaThe FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com
ni zaid ya anguko katika soka la nchi yetu na michezo kiujumla...
si uchumi tu tunaporomoka had soka..