Tanzania nafasi ya 160 viwango vya fifa

Tanzania nafasi ya 160 viwango vya fifa

Wacha tushuke, tena mimi naona kuna nafasi za watu tumekalia inatakiwa tuwe wa 204 nyuma ya Djibouti.

TFF bomu la kienyeji T star bomu la magadi.
 
Na tutaendelea kushuka tu,kama Malinzi ataendelea kua Rais wa soka.Bila mabadiliko kwenye klabu zetu tutashuka sana.Uendeshaji mbovu wa ligi,marefa wabovu na hongo zao.Tutalia sana tu.
 
Tena kipind hk ndo Tumekuw wabov kulko miaka yote utahtaje kikos kina saidia fund weng vile mtu et yuko free kisa katoka nje ww
 
Marefa wabovu,uongozi mbovu,rushwa zinadidimiza soka letu.
 
The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com
ni zaid ya anguko katika soka la nchi yetu na michezo kiujumla...
si uchumi tu tunaporomoka had soka..

Tena naona hao FIFA wametuonea tu ' aibu ' ila nadhani kwa ' upuuzi ' wa Watendaji au Wasimamizi wakuu wa mpira wetu nikimaanisha TFF ya Malinzi na wenzake wote Tanzania leo tulitakiwa hata tuwe wa 213 au wa 10,000 duniani. Mimi ni mmoja wa Watu ambao Taifa Stars au Serengeti Boys ikifungwa huwa nafurahi kabisa na nafanya ' sherehe '. Ili kunielewa kwanini ' nimekereka ' hadi nimeyasema haya unatakiwa uanze kuufuatilia mpira wa Tanzania kwa mapana yake na uujue pia ila ukiwa na akili ' finyu ' na za ' kushikiwa ' lazima tu utaniona sifai. Na sasa hivi pia napiga sana ' dua ' lile shauri letu tulilolipeka CAF juu ya Timu ya Taifa ya Congo Brazaville kumchezesha mchezaji ' Kijeba ' Tanzania ' tusifanikiwe ' ili tuzidi ' kuumbuka '. Ni mpaka ' mabadiliko ' makubwa yatokee TFF na katika Vyama vyote vya Mikoa nchini Tanzania, kuwe na ' mipango ' madhubuti, kuachwe kwa ujanja ujanja na haki iwepo ndipo nitarudisha upya ' moyo ' wangu. Haiwezekani ' vijinchi ' vidogo sana kama Cape Verde tu hapo ambao tuliwapita kwa Viwango na pia hata Uchumi wao ni mbovu na nchi ni ya ' Kimasikini ' kabisa lakini leo hii inafanya makubwa katika Soka na imefanikiwa. Huko mbali majirani zetu tu hapa Rwanda na Burundi achilia mbali Uganda wametuacha mbali sana. Ngoja niishie tu hapa kwani kwa ' hasira ' nilizonazo juu ya TFF na Soka la Tanzania nahisi nikiendelea ' kutiririka ' nitatukana au hata ' kumfuru ' bure Mwenyezi Mungu. Inauma mno!
 
Wacha tushuke, tena mimi naona kuna nafasi za watu tumekalia inatakiwa tuwe wa 204 nyuma ya Djibouti.

TFF bomu la kienyeji T star bomu la magadi.
HAO VIONGOZI WA TFF HATA WANGETEMBEZWA UCHI KUTOKA MSIMBAZI MPAKA JANGWANI HAWAWEZI KUACHIA NGAZI. WIZI TU UMEWAJAA. KIONGOZI HALISI TAIFA STARS HATUWEZI KUPIGWA 3-0 NA ZIMBABWE HALAFU WAKAENDELEA KUWA OFISINI. MKWASA ATUPWE HUKOOOO AMEDHIHIRISHA HANA UWEZO WA KUFUNDISHA TIMU YA TAIFA.
 
HAO VIONGOZI WA TFF HATA WANGETEMBEZWA UCHI KUTOKA MSIMBAZI MPAKA JANGWANI HAWAWEZI KUACHIA NGAZI. WIZI TU UMEWAJAA. KIONGOZI HALISI TAIFA STARS HATUWEZI KUPIGWA 3-0 NA ZIMBABWE HALAFU WAKAENDELEA KUWA OFISINI. MKWASA ATUPWE HUKOOOO AMEDHIHIRISHA HANA UWEZO WA KUFUNDISHA TIMU YA TAIFA.
Ulafi wa madaraka ni moja ya vtu vinavyorudisha nyuma maendeleo ya waafrika walio wengi.
 
Back
Top Bottom