GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
CUF walikuwa tatizo?CUF walihamia Shimoni Mombasa
Kuna wageni kutoka nchi jirani wanalazimisha kuwatawala watu wa nchi nyingine na hivyo kutaka kujigeuza kuwa wakoloni weusi.Mbona kama utekaji upo upande wa Tanganyika pekee? Ni kweli?
Kama hakuna utekaji Zanzibar, nini siri ya mafanikio yao?
1. Wana vyombo vya dola makini kuzidi Tanganyika?
2. Wana viongozi wenye uweledi?
3. Wananchi wa Zanzibar wamestaarabika kuliko Watanganyika?
4. Hakuna wahuni nchini Zanzibar?
5...?