Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

Nitakubariki wewe na nchi yako!
MANENO YAMETIMIA!
 

soma vizuri ndo uje uchangie. hawasemi ukubwa wa GDP bali wanaongelea mgawanyo wa GDP.
 
Basi uingize nyuma kwako kama ulivyozoea!
Nilitegemea ungeniita nije niusugulie kwako??basi kaa kimya dogo,comment za facebook ziache huko huko facebook..!!!HAPA NI JAMII FORUM kwa watu wenye akili timamu!
 
Nilitegemea ungeniita nije niusugulie kwako??basi kaa kimya dogo,comment za facebook ziache huko huko facebook..!!!HAPA NI JAMII FORUM kwa watu wenye akili timamu!


Kwa bahati mbaya mimi siyo gay, hivyo unaweza kujiingiza mwenyewe!
 
Watakaopinga hii repirt ujue wanamapepo ya umasikini na kushindwa. Kemea pepo tokaaaaa.
 
Hiyo report ya kingereza watu wengi humu hawaelewi ndio maana hata michango yao imekaa kisiasa...waache tuu hivo hivo

halafu pia wanaongozwa na hisia za chuki. yaani hawataki kusikia MAMBO yanaenda VIZURI chini ya utawala huu. wamejawa na visasi mioyoni mwao. hilo linajionesha WAAZI kwa ukosoaji wao wa kila jambo ambalo linafanyika chini ya JPM. mimi binafsi simkatalii kuwa HANA makosa, lkn nitapingana mpaka kesho aksubuhi na MTU AWAYE YOTE yule ANAYESEMA JPM ANAKOSEA KILA JAMBO ANALOFANYA.
 
Waulize UN, hapa tunazungumzia kazi iliyofanywa na magwiji wa kidunia, wenye akili level ya dunia, sio wenye kufikiria kula na kunya.
 
Umesema toka JPM aingie madarakani report zina tu favour!! Report zinasema uchumi wa Tz umekua kwa average ya 7% kwa miaka 15 iliyopita kuanzia 2016 kurudi nyuma. Ila umekua kwa chini ya 7% baada ya 2016 na baadhi ya projections zinaonyesha utakua hivyo for next few years.

Mimi nadhani reports zilikikua zina favour regime iliyopita nikitumia hoja yako.
 
Badilisha bandiko lako weka Sub Sahara Africa na si Africa nzima...maana Tunisia na Algeria wametuacha mbali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…