Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

Hata kàbla Magufuli hajaingia madarakani, uchumi wetu ulikuwa vizuri, na unaendelea,Magu anasifiwa na mataifa yote, ikiwemo kenya.
 
Mtanzania anaepinga mafanikio yetu huyo ni msaliti tu. Watu kama hao hatupaswi kuwapa nafasi hapa na niwawakukemewa kwa nguvu zote. Siasa zisifanye tuhujumu nchi yetu.
 
Viva tz kumbe dunia inaona juhudi zetu na ujamaa wetu...nafurahi tunapanda wote cio ka nchi fulan jiran uchumi umeshikiliwa na watu kumi
Kenya na South Africa uchumi unamilikiwa na wazungu
 
Nimeona imewekewa N/A yaani "Not Ask" about this shithole country[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa unapoiita nchi ya ki africa shithole kumbuka na ww ni mwafrica pia wacha kuwa nyenyekea sanaaaaa wazungu mkuu jali UZALENDO WAKO KWANZA KAMA MUAFRICA.
 
Hakuna MTZee mweusi ana mali ukilinganisha na waHindi na Waarabu:

Haroon Zakaria
Yusuf Manji
Abdulaziz Abood
Yogesh Manek
Salim Turky
Fida Hussein Rashid
Ghalib Said Mohamed
Shubash Patel
Shekhar Kanabar
Ally Awadh
 
Hakuna MTZee mweusi ana mali ukilinganisha na waHindi na Waarabu:

Haroon Zakaria
Yusuf Manji
Abdulaziz Abood
Yogesh Manek
Salim Turky
Fida Hussein Rashid
Ghalib Said Mohamed
Shubash Patel
Shekhar Kanabar
Ally Awadh

so WHAT do you want to SAY.
 
Viva tz kumbe dunia inaona juhudi zetu na ujamaa wetu...nafurahi tunapanda wote cio ka nchi fulan jiran uchumi umeshikiliwa na watu kumi
Hee kuna watu hadi Leo hii wanafurahia Sera zilizoshindwa za ujamaa? Ukifaulu kuwa inclusive kwenye free market ni mafanikio makubwa maana under market economy uchumi unakua na fursa zinafunguka but under closed economy kila kitu kinakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…