Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

Ogopa sana hizi report zenye kuisifia nchi especially kwa nchi inayowabana wazungu na wezi wengine km ya kwetu hasa awamu hii.


Hizo report sio za kuzichekea hata Cku moja, mataifa ya magharibi wanajua sana propaganda hasa za kuwafurahisha viongozi wasiowataka na wanaotafutiwa sababu za kulegeza msimamo au kuwamaliza!

Tangu Dk JPM aingie madarakani na kuanza kuwabana wazungu kumekuwa na kila aina ya report kutusifia, Mara, uchumi wetu unakua kwa kasi zaidi Africa, Mara jpm Rais Bora Africa....

Hii ni hatari sana, wanajaribu kumlegeza awe km viongozi wengine wa Africa ili wafanye wanachotaka wao
Hata kàbla Magufuli hajaingia madarakani, uchumi wetu ulikuwa vizuri, na unaendelea,Magu anasifiwa na mataifa yote, ikiwemo kenya.
 
halafu pia wanaongozwa na hisia za chuki. yaani hawataki kusikia MAMBO yanaenda VIZURI chini ya utawala huu. wamejawa na visasi mioyoni mwao. hilo linajionesha WAAZI kwa ukosoaji wao wa kila jambo ambalo linafanyika chini ya JPM. mimi binafsi simkatalii kuwa HANA makosa, lkn nitapingana mpaka kesho aksubuhi na MTU AWAYE YOTE yule ANAYESEMA JPM ANAKOSEA KILA JAMBO ANALOFANYA.
Mtanzania anaepinga mafanikio yetu huyo ni msaliti tu. Watu kama hao hatupaswi kuwapa nafasi hapa na niwawakukemewa kwa nguvu zote. Siasa zisifanye tuhujumu nchi yetu.
 
Nimeona imewekewa N/A yaani "Not Ask" about this shithole country[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa unapoiita nchi ya ki africa shithole kumbuka na ww ni mwafrica pia wacha kuwa nyenyekea sanaaaaa wazungu mkuu jali UZALENDO WAKO KWANZA KAMA MUAFRICA.
 
Hakuna MTZee mweusi ana mali ukilinganisha na waHindi na Waarabu:

Haroon Zakaria
Yusuf Manji
Abdulaziz Abood
Yogesh Manek
Salim Turky
Fida Hussein Rashid
Ghalib Said Mohamed
Shubash Patel
Shekhar Kanabar
Ally Awadh
 
Hakuna MTZee mweusi ana mali ukilinganisha na waHindi na Waarabu:

Haroon Zakaria
Yusuf Manji
Abdulaziz Abood
Yogesh Manek
Salim Turky
Fida Hussein Rashid
Ghalib Said Mohamed
Shubash Patel
Shekhar Kanabar
Ally Awadh

so WHAT do you want to SAY.
 
Viva tz kumbe dunia inaona juhudi zetu na ujamaa wetu...nafurahi tunapanda wote cio ka nchi fulan jiran uchumi umeshikiliwa na watu kumi
Hee kuna watu hadi Leo hii wanafurahia Sera zilizoshindwa za ujamaa? Ukifaulu kuwa inclusive kwenye free market ni mafanikio makubwa maana under market economy uchumi unakua na fursa zinafunguka but under closed economy kila kitu kinakufa
 
Back
Top Bottom