Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Ripoti ya "The wealth report" inayoandaliwa na kampuni ya Knight Frank ya Uingereza ya 2022 inaonesha Tanznia ni nchi ya 7 Afrika kwa utajiri binafsi na kuwa na bilionea pekee Afrika Mashariki na kati.
Idadi ya mamilionea wa dola yaani watu wenye utajiri wa kuanzia dola za Marekani 1,000,000 (TSh 2,330,000,000) ni 2,599 huku wenye utajiri wa dola za marekani 10,000,000 (Tsh 23,000,000,000) ni 80, wenye kuanzia $100,000,000 (Tsh 233,000,000,000) ni watu 8 na mwenye 1,000,000,000 (Tsh 2,333,000,000,000) ni mmoja. Jumla Tanzania ina utajiri binafsi dola za marekani 59,000,000,000 (Tsh 130,670,959,999,999.98) zaidi ya shilingi trilioni 130.
Jumla ya matajiri nchini ni 2688 ambao ni sawa na asilimia 0.0044% ya watanzania wote. Hawa ndio wapo busy kutengeneza pesa hawahangaiki na mambo ya kufinyiwa kwa ndani wala mambo ya aftatu!